Matumizi , utunzaji na usimamizi wa mali za serikali

Zing

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
1,767
470
ok wanajamvi

Mara nyingi hapa mnaongelea mapesa tu sasa tujadili assets. Naleta mada ya kichkozi lakini yenye nia ya kujenga.

  • Serikali inayo standard ya asset zake eg magari kuwa zikifikia hali fulani zinafaa kuuzwa. kama ipo tujulishane kujua eg gari kilomileage yake ikifika XXX km basi haifai tena kwa matumizi ya serikali.?

  • Je kipo kiwango kuwa kila wilaya ,mkoa au wizara inatakiwa kuwa na magari yasiyopungua au yasiyozidi mnagapi kwa ajili ya ufanisi wa shughuli zake ?

  • Je kwa nini vyombo vya usalama ambvyo kwa mtazamo wangu vinatakiwa kuwa na mafundi wengi asset zao hasa magari kuchaaa na kuharibika haraka tena hata yanayotumika mijini hayadumu.

  • Je serikali ina kiwango maalum kuwa kuuza vx au Vitara au Defender, etc lake ni kiasi kadhaa.?Yaani nini kigezo cha kuthaminisha magari kabla hajauziwa. Nani mthaminishaji? kila idara inathaminisha mali zake au kuna watu au mtu maalum

  • Kwa nini kwenye ripoti za CAG mara nyingi tunasikia ripoti za mshiko tu na mambo ya Asset hayatajwi tajwi sana kwenye ripoti hizo ?
Nawasilisha kwa mjadala
 
No one know gari ya serikali inatakiwa kuwaje before kuuzwa?

  • Ni Mileage
  • Likipata ajali tu
  • Bosi akiamua
  • ?
 
Back
Top Bottom