Matukio yatakayofanya tuukumbuke 2011

mzambia

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
885
60
Ra, el, nimrod, chenge wafikishwe mahakani kwa kuliingizia taifa hasara ktk richmond, radar na dowans mwaka huu 2011
 
Na kama ikiwezekana kina tanil somaiya, subhash, vithlan wachunguzwe kwa umakini uhalali wao kuwepo tz ka raia au wawekezaji? Na wasiwe na pasi mbili za kusafiria
 
Back
Top Bottom