Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

Hii thread haifungwi hadi wafuatao watoe ushuhuda wao
Mkandara
Pasco
Game Theory
Gembe
Mchukia Fisadi
Geza Ulole
WoS
DR. Slaa
Mzee Mtei
Kuhani
Jasusi
Eginma
MMMM
Invisible
Kiranga

nawasilisha


hahaaaa hao sijui kama watapita huku mtaani kwetu leo, labda baada ya October!!!
 
Yeah:

Jamani mupo?

bht na Nyamayao - hamna kisa kipya kilichojiri weekend hii?

Kwakuwa Big Brother imeanza inabidi tuendelee kuchelewa kurudi nyumba ili kuwapa nafasi akina Mama kufuatilia kinachojiri huko JHB. Hii ni baada ya Woza na mid next month tunaanza English Premier League! Kurudi nyumbani ni baada ya saa tano usiku

Hujamsoma Nyamayao, mtu alizimika baada ya kugundua amechitiwa baba ENO
 
hata wewe? kazi ipo....mie mtu akinirudia asubuhi hata kama kabebwa kwenye mkokoteni huwa sihoji kabisa mana ni kujiumiza rohotu, napotezea kama cjui/cjaona kinachoendelea vile, ctaki kudanganywa kitoto tena.


Si kidogo tu jamani Mrs.....:A S tongue:
 
Hii thread haifungwi hadi wafuatao watoe ushuhuda wao
Mkandara
Pasco
Game Theory
Gembe
Mchukia Fisadi
Geza Ulole
WoS
DR. Slaa
Mzee Mtei
Kuhani
Jasusi
Eginma
MMMM
Invisible
Kiranga

nawasilisha


asee mkuu De Novo hapanimecheka hadi sina mbavu hakyanani...ngoja nitafute JW red label nikutumie uache usober
 
Huu ushuhuda ulikua wapi siku zote??? Thredi yaweza kufungwa kwa amani...

dah .,.mkuu walikuwa wamenibana hao hao sijapata nafasi kabisa kuutoa ndo nimeuamkia asubuhi hiii! LOL wacha tumetoka mbali
 
wajameni, sas ana miye nitoe ushuhuda wa infidelity ambayo almanusura iharibu kila kitu

Nilitokea kupata safari ya nje kikazi, sasa katika kuaga:

-Nikajikuta natafuta sababu ya kwenda 'gereji' kwamba gari ni mbovu-siku moja kabla ya safari
-gereji nikaishia kwenye infidelity, ubaya na uzuri ni kwamba ka infideletee kanamjua mamsapu sasa kuna lama mashindano flani., kenyewe kanataka kupindua

-So nimefika pale mapocho pocho kibao, kama kawaida 'divai' na mazaga zaga kibao
_lakini mbaya zaidi nikamkuta na yeye 'ameshajiandaa' kajibinnua kimtindo unajua tena vinyumba self chumba na sebule mtu nimekaribishwa hadi chumbani kabisa
-Ikabidi ni do ze nidiful, kama starter hivi ya kuanzia, mweh! Mbona nilipewa vitu sijawahi pewa tangu tumeanza infidelity! nikalala 'mazima'...
-binti akaamka aadaye akaandaa msosi lakini nilivokuwa hoi sikuweza, sasa akarudi tena kwa bed mzima mzima, tukaendeleza libeneke hakuna kuliwa msosi hapo

kuja kustuka asubuhi, simu imepigwa weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee na mamsapu

Airport natakiwa saa nne kamili na bado kwa mamsapu sijaaga.....

Nikapata wazo la kupuita supermarket nikanunua kinywaji nikanywa ile kisawa sawa kama ahmada vile chakari, ndo narudi home

-utetezi ndo huo kwamba nilikuwa pub hadi asubuhi na nipo chakari sasa apo hakuna 'kuagana' wala nini ni airport moja kwa moja.......moyoni najiapiza sirudii tena!

-jamani infideletees punguzeni mahanjamu hata kama ni mapinduzi jamani!

:fish2:

wapi da Sophy?



The Following 3 Users Say Thank You to Kaizer For This Useful Post:

Asprin (Today), Baba_Enock (Today), Roya Roy (Today)​
 
na mie naruhucwa kukufanyia kidogo mr?
Dada kila siku mbona nakuambiaga hii kanuni hutaki kuiamini?

Mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mume mmoja ila mwanaume ameumbwa kwa ajili ya wanawake wengi.......:cool:
 
Du RR, Zis is more than quick sinking!! it's kwikwi reasoning !!!:lol:
 
bado sina, ngoja niendelee kusubiri huyo atakeyenipa Mungu!!! thanks for the wise word!!

bht mimi ndie yule uliyekuwa unanisubiri toka mbinguni, nimeagizwa as from tomorrow onwards nipewe makazi ya kudumu moyoni mwako, unasemaje mama'angu tafadhali usiukatae unabii huu LOL!..:A S tongue::A S tongue::A S 8::A S 8::smile::smile::smile: ...
 
...pengine huyo serengeti mwenyewe ndio yule yule uliyetambulishwa ni 'yatima,' mtoto wa shangazi ambaye alifariki wakati wa kujifungua. Mbaya zaidi nawe umejiingiza gharama za kumsaidia elimu, malazi, makaazi na kumtafutia kibarua...
Acha tu bana.

Mheshimiwa Mbu, mbona mie nishaletewa hizo, tena kwa sana, kucheki kijamaa chenyewe ni ki-brazamen flani machale yakanicheza nikawasha moto wa hatari sana baada ya kama miezi miwili hivi nikaja ku-prove kuwa nilikuwa right, ni kwenye simu yake jumapili moja katoka kwenye mbesii (sherehe ya kina mama, I think it has got something to do with kumpongeza mwenzao aliyejifungua) kaja kinywaji cha kutosha kichwani, karukia kitandani kulala mie nikaanza ku-peruse simu niliyoyakuta siri yangu, lakini in-short nisha-mmwaga na maisha yanasonga mbele, kama mlivyosema wadau tusipende sana kujua hawa wenzetu wana-cheat vipi coz waweza jikuta unachezea 35 segerea bure, coz kwa wao palepale ambapo hudhani, I mean kwenye impossible angles wao wanaingiza mabao!... hawa viumbe wanaweza kukuletea kila aina ya kituo cha mafuta (BP, SHELL, GAPCO na kile kingine sijui nini........hata sikumbuki)...

Wakati mwingine nafikiri sijui ni bora tu ku-assume kuwa all is well then unaacha maisha yaendelee au unaamua ku-deal na kila detail ili pia kujilinda hata sijui which way is the right way out, anyways I can never ever forget this experience, that's for sure LOL!... :smile::smile::smile::smile:
 
Room namba ngapi nakuja na muzee yangu kabisa kabisa

:smile::smile::smile::smile: Ha ha ha ha ha ha nimeipenda hio FL1, Asprin jipange kwa style nyingine kamanda wangu najua unaweza jipindua na strategy nyingine ki-samurai samurai au vipi 'coz naona mtoto anajaribu kupiga mask ya chuma LOL!.... :tongue::tongue::tongue: .....
 
Wenyewe wamo humu, lakini ngoja nimwage mtama,
Nilikuwa na mtu nje my waifu wangu akashtukia dili, Ilikuwa kila siku nachelewa kurudi home! napitia kona kwanza baadaye home, baada ya kushtuka nikawa napitiwa kazini tunarudi wote home. Ikawa sipati muda kabisa na mtu wangu nje, nilichofanya nikabadilisha muda wa kuondoka home asubuhi, badala ya kutoka saa 1, nikawa natoka saa 12 asubuhi. Basi dereva akawa ananifuata saa 12.huyo chapchap natoka , ananipitisha nyumba ndogo mi napoa uko mpaka saa 2 hadi 2 na nusu . Dili ika-leak, siku hiyo natoka tu home, kumbe wife naye kajiwahi yuko nyuma, ile nashuka na kuingia ndani ilikuwa balaa, kilichoniokoa ni kujificha nyuma ya mlango, na bahati nzuri siku hiyo kulikuwa na ugeni wa mdogo wake na nyumba ndogo, kilichofuata ilikuwa vurugu. Niliamua kuacha moja kwa moja.
 
Wenyewe wamo humu, lakini ngoja nimwage mtama,
Nilikuwa na mtu nje my waifu wangu akashtukia dili, Ilikuwa kila siku nachelewa kurudi home! napitia kona kwanza baadaye home, baada ya kushtuka nikawa napitiwa kazini tunarudi wote home. Ikawa sipati muda kabisa na mtu wangu nje, nilichofanya nikabadilisha muda wa kuondoka home asubuhi, badala ya kutoka saa 1, nikawa natoka saa 12 asubuhi. Basi dereva akawa ananifuata saa 12.huyo chapchap natoka , ananipitisha nyumba ndogo mi napoa uko mpaka saa 2 hadi 2 na nusu . Dili ika-leak, siku hiyo natoka tu home, kumbe wife naye kajiwahi yuko nyuma, ile nashuka na kuingia ndani ilikuwa balaa, kilichoniokoa ni kujificha nyuma ya mlango, na bahati nzuri siku hiyo kulikuwa na ugeni wa mdogo wake na nyumba ndogo, kilichofuata ilikuwa vurugu. Niliamua kuacha moja kwa moja.
hii ni XXL!.....
kubwa kuwahi kutokea katika INFIDELITY

no wonder wewe una ugonjwa wa CHEZUMWI(CHEMBECHEMBE ZA ZUMA MWILINI)
 
[COLOR=red said:
(((((Renegade;1018839]Wenyewe wamo humu, lakini ngoja nimwage mtama,[/COLOR]
Nilikuwa na mtu nje my waifu wangu akashtukia dili, Ilikuwa kila siku nachelewa kurudi home! napitia kona kwanza baadaye home, baada ya kushtuka nikawa napitiwa kazini tunarudi wote home. Ikawa sipati muda kabisa na mtu wangu nje, nilichofanya nikabadilisha muda wa kuondoka home asubuhi, badala ya kutoka saa 1, nikawa natoka saa 12 asubuhi. Basi dereva akawa ananifuata saa 12.huyo chapchap natoka , ananipitisha nyumba ndogo mi napoa uko mpaka saa 2 hadi 2 na nusu . Dili ika-leak, siku hiyo natoka tu home, kumbe wife naye kajiwahi yuko nyuma, ile nashuka na kuingia ndani ilikuwa balaa, kilichoniokoa ni kujificha nyuma ya mlango, na bahati nzuri siku hiyo kulikuwa na ugeni wa mdogo wake na nyumba ndogo, kilichofuata ilikuwa vurugu. Niliamua kuacha moja kwa moja.))))[/QUOTE]

Blue!!! Hili nalo neno..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom