Matukio yanayokumbukwa wakati wa ''infidelity''...

- Wengi wenu (Infidel..) huwa mnasaha Cond.mu kwenye mifuko!

- Wengi wenu huwa mnajipulizia upya Manukato kujaribu ku-nutralize yale ya (Infidel..) mnapofika nyumbani

- Nakumbuka kurudi nyumbani na "enkachifu" iliyopulizwa/fukizwa UDI! Hii ilihitaji maelezo mengi kukubalika
 
Nilikua na ka-bangaluu kangu kadogo mitaa ya chuo flan.......nikaenda kukatembelea jioni moja.....kama mjuavyo ukifika kwenye vyumba vya wanavyuo unavulia viatu milango (si wanaweka zile kapeti za plastiki?).....mi nikavua na kuingia ndani....
Bahati nzuri ibilisi katuzidi nguvu na tukafunga mlango kwa funguo....
Ile natoka (ilkua kama saa 5 usiku) nikakuta sendoz zangu zimeota miguu (zimetoweka ka mpira wa jabulani)....
 
mbona hakuna alieleza alihandle vipi hizo case za infidelity?
Hiyo mama ni thread inayojitegemea.

Haya tuambie kuna siku mzee alirudi home kavaa sandals za baamedi? kuwa wazi tu mama tupate uzoefu:fish2:
 
Nilikua na ka-bangaluu kangu kadogo mitaa ya chuo flan.......nikaenda kukatembelea jioni moja.....kama mjuavyo ukifika kwenye vyumba vya wanavyuo unavulia viatu milango (si wanaweka zile kapeti za plastiki?).....mi nikavua na kuingia ndani....
Bahati nzuri ibilisi katuzidi nguvu na tukafunga mlango kwa funguo....
Ile natoka (ilkua kama saa 5 usiku) nikakuta sendoz zangu zimeota miguu (zimetoweka ka mpira wa jabulani)....
Ngoja nitoke nje nikacheke kwanza lol! Hahahahahahahaha! dah! Kabla sijatoka kamata kwanza hii:

The Following User Says Thank You to Roya Roy For This Useful Infidelity Post:

Asprin (Today)​
 
Nilikua na ka-bangaluu kangu kadogo mitaa ya chuo flan.......nikaenda kukatembelea jioni moja.....kama mjuavyo ukifika kwenye vyumba vya wanavyuo unavulia viatu milango (si wanaweka zile kapeti za plastiki?).....mi nikavua na kuingia ndani....
Bahati nzuri ibilisi katuzidi nguvu na tukafunga mlango kwa funguo....
Ile natoka (ilkua kama saa 5 usiku) nikakuta sendoz zangu zimeota miguu (zimetoweka ka mpira wa jabulani)....

hahahaha hujamaliza baada ya kisa mkasa home ulisema kibaka amezipitia ukiwa wapi au unafanya nini???????????
 
kuna Kisanga cha kuchekesha kimemkuta ndugu yangu wa karibu kesi ya kusuruhisha :sick:
Yeye kenda kufanya majambo yake kaaga anaenda kwenye wedding ceremony ,kumbe kapitia kwa ka small house kake ..kurudi home saa tisa bia nyingi sana kichwani kajisahau kama kajitanda mtandio wa hiyo small house ...

Ila nyie !
 
hahahaha hujamaliza baada ya kisa mkasa home ulisema kibaka amezipitia ukiwa wapi au unafanya nini???????????
Nilikua na shida kuu tatu hapa:
  1. Ningeondokaje maeneo yale pekupeku.....(niliomba kandambili na nashukuru siku ile nilikua nimeazima kamkweche kwa mshkaji)
  2. Nimepoteza viatu vyangu nivipenadavyo (hadi leo navikumbuka mwezi wa tatu sasa)
  3. Kwa bibie......

Nilitengeneza hadithi hii (i had plently of time)..
Nilikua nimekaa bar na mshkaji (ilibidi nimtafute same night kumpa ishu yenyewe), akaja jamaa anaejifanya 'shoe shiner' kanipa zile ndala katoweka na 'my dear sendoz'....
Hope she bought....wiki iliyopita kaniuliza ka nishawahi kumwona yule 'shoe shiner'.....
BTW: Hapa nimejilipua....akipita hapa mi kishnei!
 
Gosh nashindwa kuamini:sick:
 
Morning!! Dah ni hangover au!! Alaa kumbe mnazungumzia Fidel.....ha ha ha hommie bana!! mi nakumbuka niliuzwa unatoka wapi nikajibu pale pa siku ile tulienda wote akasema wapi pataje...kutaja kumbe sijawi kua nae maeneo hayo wala hapajui....acha na Va:pound:lue bana shida tupu!!
 
Hiyo mama ni thread inayojitegemea.

Haya tuambie kuna siku mzee alirudi home kavaa sandals za baamedi? kuwa wazi tu mama tupate uzoefu:fish2:

bado sana
nawe tuambie basi ile siku umekuja na kufuli la dasophy ikawaje?
 
Nilikua na ka-bangaluu kangu kadogo mitaa ya chuo flan.......nikaenda kukatembelea jioni moja.....kama mjuavyo ukifika kwenye vyumba vya wanavyuo unavulia viatu milango (si wanaweka zile kapeti za plastiki?).....mi nikavua na kuingia ndani....
Bahati nzuri ibilisi katuzidi nguvu na tukafunga mlango kwa funguo....
Ile natoka (ilkua kama saa 5 usiku) nikakuta sendoz zangu zimeota miguu (zimetoweka ka mpira wa jabulani)....
Hahahahaha! hapa nimecheka sana. ngoja nami nilete habari yangu......... subirini kidogo
 
bado sana
nawe tuambie basi ile siku umekuja na kufuli la dasophy ikawaje?
Hiyo ilikuwa ndogo. Sikiliza hii:

Umeenda kwa dasophy kudumisha mila (valeur inahusika hapo) Katika udumishaji mila usingizi ukakukamata. Kustuka kumekucha. UKIANGALIA SIMU KUNA MISSED CALLS ZAIDI YA 20 ZA WAIFU!! Kichwa kinakuuma unaamua kupiga mahesabu.

Unaenda kituo cha polisi unawahonga buku kumi wakuweke lupango. Unampigia infidelator mwenzako Teamo aje akutoe lupango. Kwa kuwa ushampa habari kamili, yeye amnapitia kwa wife anaongozana naye kituoni. Waifu anawahonga polisi ili wakutoe. safari ya kurudi home kwa mafanikio inatimia.

Kilichokufanya uswekwe ndani waifu ataambiwa mkiwa kwenye tabenako. Kesi kwisha..............:closed_2:
 
lakini kwa vile nimeshapata experience hapa kuwa si kila ukiambiwa mwenzio kalala lupango ni kweli sidanganyiki!!!!!!!!!!
 
Hiyo ilikuwa ndogo. Sikiliza hii:

Umeenda kwa dasophy kudumisha mila (valeur inahusika hapo) Katika udumishaji mila usingizi ukakukamata. Kustuka kumekucha. UKIANGALIA SIMU KUNA MISSED CALLS ZAIDI YA 20 ZA WAIFU!! Kichwa kinakuuma unaamua kupiga mahesabu.

Unaenda kituo cha polisi unawahonga buku kumi wakuweke lupango. Unampigia infidelator mwenzako Teamo aje akutoe lupango. Kwa kuwa ushampa habari kamili, yeye amnapitia kwa wife anaongozana naye kituoni. Waifu anawahonga polisi ili wakutoe. safari ya kurudi home kwa mafanikio inatimia.

Kilichokufanya uswekwe ndani waifu ataambiwa mkiwa kwenye tabenako. Kesi kwisha..............:closed_2:

kaka samahani....sijui nakufananisha?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom