Matukio yaliyotikisa Tanzania tokea tupate uhuru

Mgonjwa wa mguu kufanyiwa operation ya kichwa and vice versa,richman kuja kumtetea madam aliyedondoshwa jimbo la arusha mjini,prezdaa kuunda tume itakayoshughulikia katiba mpya badala ya mawazo kutoka kwa wananchi,mrema kuomba shavu la naibu waziri mkuu...........................................................................NLIKUA NASAHAU MARA CHENGE AUA WANABAJAJI AKAPIGWA FAINI YA MADAFU(700,000)
 
presidaa kuunda tume tatu kushighulikia chuo kimoja (UDOM)....first of it's kind
 
-Raisi kumteua waziri wakati kwenye ubunge kamwagwa(kashindwa)-Zakia meghi
-Rais kujisifia kuona na rais Obama mapema kuliko marais wengine
-Mtoto(Juma) akutwa muhimbili akila kichwa cha mtu
-Makamba kuvaa jukumu la uafisa uhamiaji kwa Kumwambia Bashe si mtanzania
-Raisi aanguka jukwaani mara mbili.
 
Raisi kutetea na kuwanadi mafisadi akiulizwa anasema ni mgombea wa chama changu nyie mlitaka nifanyeje??????????? wakati yeye pia ni mwenyekiti wa hich chama na vikao kwa chama kilichosimamisha mafisadi kugombea ubunge
 
Chenge alipa faini tsh laki saba baada ya kuua na gari lenye isurance iliyo expire.
 
Mara Waziri mkuu kajiuzulu. Mara Mikataba kwenye kampuni hewa. Mara DOWANS inatakiwa ilipwe bilion 154, mara bilion 94. Mara mauwaji ya wenzetu ALBINO. Yaani yapo mengi mno halafu yote ni kwenye awamu moja na bado. Tutaona Maajabu mengi sana.
 
Rais kusema hadharani kuwa kupata mamba na ukimwi ni kiherehere
 
TFF haina kibao cha elektroniki cha kubadilishia wachezaji na kuonesha muda wa nyongeza
 
- Sizitaki kura za wafanyakazi
-Maisha bora kwa kila mtanzania
-Mtakula majani lazima tununue ndege ya rais
-Wabunge wa kike kuvaa cheni miguuni bungeni
-Kujenga shule za kata zisizo na waalimu
-Wamachinga wa kichina kujazana na kuwazidi wa bongo kibiashara ktk kila nyanja
 
Vitu vyote vinaanzia serikalini. Serikali yetu imekuwa serikali ya matukio tu na matukio yametokana na kutokuwa na plan. Mahitaji muhimu kwa jamii hayapo na serikali haina plan na cha kushangaza badala ya plan serikali imekuwa ikisikiliza ushabiki na kufanya mambo kwa ushabiki kwa sababu hakuna plan ya kufuata.
 
Nchi hii inaongozwa na Farao. Sisi ndio wale wana wa Israel walioteswa na wamisri. Subirini kidogo Neema inakuja, this is just the transitional period. Kunguni wanaendelea kuishambulia Ikulu msijali JK ataachia, na neema tutaanza kuipata hata kabla ya 2015. Neema mara nyingi hutanguliwa na dhiki kubwa na nzito ajabu. Sasa tunayoyaona ni madogo, na viongozi wa serikali ya ccm kwa jinsi walivyofungwa akili hawataweza kuitambua hili. Mbarikiwe na bwana!
 
Back
Top Bottom