Matukio ya bunduki na Tahadhari zake

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,162
Naombeni dondoo za jinsi ya kuchukua tahadhari au hatua za kuchukua
pale unapojikuta eneo ambalo risasi zinapigwa kwa karibu na ulipo mfano nyumbani au eneo la kazi

Silengi eneo lenye vita.

Nataka kitu kama 'how to access risks na hatua za kuchukua'
 
Ni kulala chini na ku craw mpaka sehemu yenye uzio utakaokuwezesha wewe kujificha mpaka hali itakapokuwa shwari.
 
Mbona unauliza swali hilo bro?tuambie kama kuna lolote linalokuja katika jamii yetu.Maana tunapoelekea we acha tu.lakini sio ishu fungua google utapata jibu.
 
Naombeni dondoo za jinsi ya kuchukua tahadhari au hatua za kuchukua
pale unapojikuta eneo ambalo risasi zinapigwa kwa karibu na ulipo mfano nyumbani au eneo la kazi

Silengi eneo lenye vita.

Nataka kitu kama 'how to access risks na hatua za kuchukua'
Hapo red nilitegemea labda unasema escape!
Kama alivyokueleza mdau mmoja hapo juu, njia salama kabisa kuepuka risk hiyo ni kulala chini flat, na kutegemeana na eneo lenyewe unaweza kutambaa kwa tumbo.
Kama mazingira hayaruhusu kulala na kutambaa, basi waweza kimbia kwa kuepuka msitari mnyoofu, yaani kukimbia zig-zag!
 
Hakuna lolote linalokuja
Wakati mwingine matukio yanakufuata karibu
Afu unaona watu wanavyofanya, unabaki umechanganyikiwa

Ngoja nikatoe darasa, nshapata mwongozo
Ntachanhganya na zangu

Mbona unauliza swali hilo bro?tuambie kama kuna lolote linalokuja katika jamii yetu.Maana tunapoelekea we acha tu.lakini sio ishu fungua google utapata jibu.
 
Ku-escape inanitisha sababu I can't run faster than a bullet.
Ni bora kulala chini, na ku-surrender nadhani
Unless na mimi niwe nayo
Hapo red nilitegemea labda unasema escape!
Kama alivyokueleza mdau mmoja hapo juu, njia salama kabisa kuepuka risk hiyo ni kulala chini flat, na kutegemeana na eneo lenyewe unaweza kutambaa kwa tumbo.
Kama mazingira hayaruhusu kulala na kutambaa, basi waweza kimbia kwa kuepuka msitari mnyoofu, yaani kukimbia zig-zag!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom