Matukio Tisa yaliyomdhalilisha Rais Kikwete 2006-2010

Status
Not open for further replies.
kuoa mke wa nne mtoto wa zakia meghji hivyo kuzihirisha wazi ule msemo wa serikali ya kishikaji kwa kuwa huyo mama aliwahi kuwa waziri kwenye serikali yake so mama mkwe wa mkulu,

ndani ya hawa wake 4 yumo huyu aliyeoa iringa mtoto wa asas mwaka jana?
 
Kuna mengi-mengi yaani we acha tu, mi nawashauri muwe kama mimi. Tangu nianze kupiga kura yaani
-1990, 1995, 2000, 2005 kwa kura ya Urais huwa hawashindi. Nawashauri tukiwa wengi siku moja au 2010 twaweza kuchagua mshindi. Mi nataka nilie myaka mingine mitano hali itakuwaje akirudishwa?
 
2. Kujiuzulu kwa Waziri Mkuu-Edward Lowassa

Kwa kuwa Waziri Mkuu anateuliwa na Rais tena wakati mwingine bila kushauriana na mtu kitendo cha Lowassa kulazimika kujiuzulu baada ya kashfa ya Richmond ilikuwa ni pigo jingine kwa Rais. Hii inamaanisha kuwa Rais wetu hayuko makini katika teuzi zake ndio maana anateua watu ambao sio viongozi wasafi wasio na dhamira ya dhati ya kuongoza taifa hili. Hii ni aibu nyingine kwa Rais kwani mtendaji wake mkuu aliyempenda kuliko Mawaziri wote kumuangusha kwa utendaji wake mbovu hivyo kulazimisha kuvunjwa kwa baraza la Mawaziri na kumteua mtu mwigine ambaye hakuwahi kumfikiria kuwa Waziri Mkuu

HII MBONA iko vice versa? siyo kuwa JK alipata heshima sana nje ya nchi kuwa na waziri mkuu anayekubali kuwajibika?

Pili je Kudhalilika huko huko utawapa kila rais dunia hii? watu wanabadilika sana, na Rais kamwe hayuko kuwa kama Mola wa kuweza kujua yajayo.

Then Nyerere alidhalilika Mwinyi alipojiuzulu? No sitaki kuikubali sana hii point labda ungeandika kivingine

Huo ni mtazamo wako Waberoya.mimi mtazamo wangu uko pale pale.Kama umemteua Waziri Mkuu ukiamini ndio the best Waziri kati ya Mawaziri wote halafu hata miaka mitatu haijaisha jamaa anaonekana hafai,huku ni kudhalilika.JK hakuwa na choice ya kukataa Lowassa asijiuzulu ilikuwa ni demand ya wanaharakati wote serious..Hizo sifa za nje sisi hazituhusu,siku zote wamekuwa wakiisifia Tanzania hata katika mambo yakipuuzi tu.Si ni hao hao mabalozi walifagilia sheria ya gharama za uchaguzi?si ni hao hao mabalozi wanaofagilia MKUKUTA lakini ni ma utumbo tu..Hatuwezi kufanana katika mtazamo Mkuu.Wewew umeona hivyonami naona kivingine..Understood..I will stand katika mtazamo wangu mpaka mwisho.
 
ndani ya hawa wake 4 yumo huyu aliyeoa iringa mtoto wa asas mwaka jana?

mhhhh??? msinambie raisi wangu anajitahidi kutoa ajira namna hii!!!, kwa ma first lady 4, wasaidizi wao wa nne, mashemeji, wakwe, wajomba, kwakweli ajira milioni 1 zitafika sasa hivi lol!
 
Je, mmesahau na ile ya muganga wa kienyeji Mwanza aliye mkwida jukwaani?
 
Kujiuzuru kwa ufisadi ukiwa Waziri Mkuu na kupambwa kuwa Waziri mstaafu , huoni kuwa ni shame? Au mwenzetu...
 
Hayo ni matukio yanayotudhalilisha Watanzania. Now what next? Tuko tayari kuendelea kudhalilishwa? Kudhalilishwa kungekuwa kunaendana na kuendeleza maisha ya Mtanzania kusingekuwepo malalamiko mengi, lakini kibaya ni kudhalilishwa pamoja n maisha ya Mtanzania wa kawaida kuendelea kudidimia, hakuna matumaini ya kurudi kwa maisha ya milo miwili kwa siku kwa Mtanzania wa kawaida! Walionacho wanaendelea kuongezewa. Sasa tukatae kuendelea kudhalilishwa na kudidimizwa, uwezo huo kwa pamoja tunao, basi tuutumie uwezo huo.
 
kuoa mke wa nne mtoto wa zakia meghji hivyo kuzihirisha wazi ule msemo wa serikali ya kishikaji kwa kuwa huyo mama aliwahi kuwa waziri kwenye serikali yake so mama mkwe wa mkulu,
Vipi kuhusu utabiri wa Sheikh Yahya kuwa atakayempinga JK atakufa na msemaji wa JK kutoa tamko la kumuunga mkono Sheikh? Siyo ishara kuwa labda mkuu huwa anaonana na Sheikh kumuwekea mambo yake sawa?
 
ndani ya hawa wake 4 yumo huyu aliyeoa iringa mtoto wa asas mwaka jana?

Hivi ni kweli kaoa 4? Hivi ni nani hao wengine ukiacha tunaowafahamu wa kwanza Mama Salma na mtoto wa Waziri wake wa zamani? Anazifungaje hizi ndoa? Hivi hakuna sheria ya kulinda au kuzuia mambo kama haya nchini yasifanyike na Mkuu wa nchi? Maana tusipoangalia atatokea Mkuu mwenye akili nusu atangaze wanawake wote nchini ni wake zake! Nani atabisha? Au wote waishio Dar basi! au Pwani! Maana wadanganyika tulivyo mabingwa wa kuchagua maraisi?
 
Nadhani matukio ya kumdahlilisha JK yapo mengi mno! Binafsi nilipoteza imani na huyu jamaa pale alipounda baraza la mawaziri kubwa kuliko yote tangia tupate uhuru! Aliteuwa pia Mkuu wa Wilaya fulani sikumbuki, wa wapi ila jamaa alikuwa na kesi na hivyo ikabidi atengue ule uteuzi. Please JK tufanyie msaada watanzania wenzako, usigombee tena maana huna jipya! na unazidi didimiza taifa letu kimaendeleo! Zile flyover zitaanza jengwa lini?
 
Mkuu nadhani umeanzisha chachu maana naona hii thread itakuwa na matukio mengi kuliko ulivyodhani, wewe umekumbuka Tisa lakini nina uhakika yatakuwa 100 na hayo baada ya kuchuja na kuyaondoa yale ambayo tutaona sio ya aibu, kama la kupanda bembea sioni kama ni Aibu I was in Jamaica kwa likizo ya dec 2008 hilo ni utalii wa kawaida Jamaica kwa kila mtalii anayeingia kwao.

lakini matukio ambayo mimi ningempa ni mawili (ingawa hapa nataja zaidi).
1. Msafara wake kupigwa mawe kule Mbeya.
2. Msafara wake kuzuiwa barabarani Mbeya ili wananchi watoe kero ya kujengewa soko na pia kero ya matuta bara barani
3. Kuruhusu binti yake kuchezwa ngoma
4. Kurusu mama wa kwanza kwenda Swaziland kushiriki Ngoma ya Reed Dance
5. Kuzuiwa kumpa mama wa Kwanza ashike Kombe la dunia la FIFA uwanja wa Taifa
6. Kudanganywa ujenzi wa Daraja mto Ruvuma (Tanzania - Msumbiji) kuwa limekamilika wakati bado, na kujaribu kumpandisha kwenye ki-boat.

Mbogela kwenye hiyo list yako yapo yaliyoniacha mdomo wazi?
 
Gender Sensitive nimefurahishwa sana na Post yako yenye kumbukumbu nzuri sana kuhusu mheshimiwa natamani Aione hii post
 
Manenooo............
Mbona hueleweki? nilichosema Waziri mkuu kajiuzuru kwa kashfa za kifisadi, lakini siku hizi waandishi wa habari wanampamba kuwa waziri mkuu msaafu, huoni kuwa hii ni aibu? Mbona hajafanyiwa kama akina Mramba hata kama ni changa la macho?
 
Maoni mazuri kama haya ni mwiba mkali kwake.
Hataki kuchomwa na mwiba huo,
yeye anataka asifiwe sana tu,
humu ndani ya jukwaa letu wamemwagwa mashushu wengi kusikia tu tunamuongeleaje bwana mkubwa.
Hawampelekei kile tunachokiongea ili ajufunze, wao wanamuambia tu jamii forums ni jukwaa linalokutusi wewe na serikali yako.
Kikwete sio mbaya sana, ila washauri wake wanayajua mapungufu yake yote na wanayatumia kujinufaisha wao binafsi.
hoja nzuri, mtazamo mzuri, mpangilio mzuri............... Nimecheka mahujaji waliopandishwa kwenye ndege na alipoondoka wakashushwa!!.... Hahah... Kweli only in tz..... Huyu mheshimiwa anapaswa kuwa mkali kidogo, wamemfanya babu yao................
 
2. Kujiuzulu kwa Waziri Mkuu-Edward Lowassa

Kwa kuwa Waziri Mkuu anateuliwa na Rais tena wakati mwingine bila kushauriana na mtu kitendo cha Lowassa kulazimika kujiuzulu baada ya kashfa ya Richmond ilikuwa ni pigo jingine kwa Rais. Hii inamaanisha kuwa Rais wetu hayuko makini katika teuzi zake ndio maana anateua watu ambao sio viongozi wasafi wasio na dhamira ya dhati ya kuongoza taifa hili. Hii ni aibu nyingine kwa Rais kwani mtendaji wake mkuu aliyempenda kuliko Mawaziri wote kumuangusha kwa utendaji wake mbovu hivyo kulazimisha kuvunjwa kwa baraza la Mawaziri na kumteua mtu mwigine ambaye hakuwahi kumfikiria kuwa Waziri Mkuu

HII MBONA iko vice versa? siyo kuwa JK alipata heshima sana nje ya nchi kuwa na waziri mkuu anayekubali kuwajibika?

Pili je Kudhalilika huko huko utawapa kila rais dunia hii? watu wanabadilika sana, na Rais kamwe hayuko kuwa kama Mola wa kuweza kujua yajayo.

Then Nyerere alidhalilika Mwinyi alipojiuzulu? No sitaki kuikubali sana hii point labda ungeandika kivingine

Nakubaliana nawe kabisa Waberoya,
Kujiuzulu kwa Lowasa kulimuongezea heshima zaidi.

Tunaweza kuongeza kwenye yaliyomdhalilisha

10. Kuwatetea wezi wa EPA Bungeni na pia kutoa msamaha kwa waliorudisha pesa walizoiba.
Hii ni kupindisha sheria za nchi kwa makusudi tena kwenye Bunge linalotunga sheria.
Amshukuru Spika kwa kutumia busara zake kukataa kujadili na pia kuweka kwenye kumbukumbu (hansard), vinginevyo historia ingemhukumu zaidi na zaidi.
 
Thanks Tindikali umeniwahi na mimi nilitaka kuchangia hilo. Inakuwaje mtu wa EPA anaendelea kuwepo kwenye kwenye protokali za chama na usalama wa taifa wanamwangalia hadi rais mwenyewe aje kushtukia?

Watu wa EPA wapo wengi kwenye chama, ndiyo maana waliorudisha walisamehewa na hata wasiorudisha kama KAGODA wameachwa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom