Tky
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 439
- 140
Matukio makubwa ya kufungia mwaka 2014. Ambayo kamwe historia yake haitasaurika.
1. Mchakato wa katiba ulivyo enda kimagumashi mwaka 2014.
2. Kuundwa kwa umoja wa katiba ya wananchi yana UKAWA
3. Sakata la ESCROW mpaka watu wakaitwa tumbili.
4. Uchaguzi wa serikali za mitaa na jinsi CCM ilivyo lizwa maeneo mengi.
5. Hutuba ya Rais Prof. JK alipo hutubia wazee wa CCM Dar es salaam.
6. Tezi dume.
7. Operesheni Tokomeza - hii
iliacha wengi wakiwa vilema
na wafu.
8. Ahadi kwa Waislamu
kupewa Mahakama ya Kadhi
Januari 2015 - hili busara ya
hali ya juu isipotawala ni
bomu jingine.
9. Njama za kudunguliwa
helkopta ya viongozi wa
Chadema zawekwa wazi.
10. Tuhuma za ugaidi wa
Lwakatare zatupiliwa mbali.
11. Chadema/CUF vyafanya
Uchaguzi Mkuu kwa mujibu
wa Katiba zao pamoja na
matishio ya msajili.
12. Njama zaundwa
kuwatimua wakazi wa
Loliondo kwenye makazi yao
ya asili in favor of Mwarabu.
13. Mmoja wa waliowahi
kuwa viongozi wa Chadema
atimuliwa.
14. Wakazi wa Dar wasota
kwenye foleni masaa kadhaa
kutokana na ufinyu wa
miundombinu; ahadi ya
flyovers yaota mbawa.
15. Marcio Maximo aliyewahi
kuwa kocha Mkuu wa Taifa
Stars ajiunga Yanga. Atupiwa
virago miezi sita baadaye
baada ya kichapo cha nani
mtani jembe.
16. Mh. avunja rekodi ya
kusafiri.
17. Warioba, Makamu wa
Rais Mstaafu ashambuliwa
na wahuni wa CCM.
18. Wasomi watia aibu: Prof.
Shivji na Dr. Mwakyembe
wakana maandiko yao. Prof.
Tibaijuka, Prof. Muhongo wa-
prove failure katika nafasi
zao.
19. Tanzania yazidi kutia aibu
katika medani za kimataifa:
soka, madawa ya kulevya,
n.k.
20. Mhubiri chuki maarufu -
Ilunga Kapunga afariki dunia
na kuzikwa Magomeni Dar es
Salaam.
21. Mwaka 2014 wavunja
rekodi kwa vifo vya wasanii;
wakongwe na chipukizi.
22. Uandikisha daftari la
mpiga kura wafanyika kwa
majaribio - malalamiko kila
kona ya maeneo husika.
23. Waziri Kiongozi akiri bila
Tanganyika, Zanzibar haiwezi
kusimama yenyewe.
24. IGP astaafu rasmi;
ateuliwa mwingine.
25. DPP abadilishwa.
26. JK avunja rekodi kwa
kugawa mikoa na wilaya.
27. TRA wabadili namba za
pikipiki na bajaj kwenda MC
101 AAA kana kwamba
halikuonekana mwanzoni
wakati namba mpya za
vyombo vya moto
zilipobuniwa - poor planning.
28. Tanzania yazidi kutengwa
EAC.
29. n.k.
Ongezea na la kwako ambalo hutolisahau.
1. Mchakato wa katiba ulivyo enda kimagumashi mwaka 2014.
2. Kuundwa kwa umoja wa katiba ya wananchi yana UKAWA
3. Sakata la ESCROW mpaka watu wakaitwa tumbili.
4. Uchaguzi wa serikali za mitaa na jinsi CCM ilivyo lizwa maeneo mengi.
5. Hutuba ya Rais Prof. JK alipo hutubia wazee wa CCM Dar es salaam.
6. Tezi dume.
7. Operesheni Tokomeza - hii
iliacha wengi wakiwa vilema
na wafu.
8. Ahadi kwa Waislamu
kupewa Mahakama ya Kadhi
Januari 2015 - hili busara ya
hali ya juu isipotawala ni
bomu jingine.
9. Njama za kudunguliwa
helkopta ya viongozi wa
Chadema zawekwa wazi.
10. Tuhuma za ugaidi wa
Lwakatare zatupiliwa mbali.
11. Chadema/CUF vyafanya
Uchaguzi Mkuu kwa mujibu
wa Katiba zao pamoja na
matishio ya msajili.
12. Njama zaundwa
kuwatimua wakazi wa
Loliondo kwenye makazi yao
ya asili in favor of Mwarabu.
13. Mmoja wa waliowahi
kuwa viongozi wa Chadema
atimuliwa.
14. Wakazi wa Dar wasota
kwenye foleni masaa kadhaa
kutokana na ufinyu wa
miundombinu; ahadi ya
flyovers yaota mbawa.
15. Marcio Maximo aliyewahi
kuwa kocha Mkuu wa Taifa
Stars ajiunga Yanga. Atupiwa
virago miezi sita baadaye
baada ya kichapo cha nani
mtani jembe.
16. Mh. avunja rekodi ya
kusafiri.
17. Warioba, Makamu wa
Rais Mstaafu ashambuliwa
na wahuni wa CCM.
18. Wasomi watia aibu: Prof.
Shivji na Dr. Mwakyembe
wakana maandiko yao. Prof.
Tibaijuka, Prof. Muhongo wa-
prove failure katika nafasi
zao.
19. Tanzania yazidi kutia aibu
katika medani za kimataifa:
soka, madawa ya kulevya,
n.k.
20. Mhubiri chuki maarufu -
Ilunga Kapunga afariki dunia
na kuzikwa Magomeni Dar es
Salaam.
21. Mwaka 2014 wavunja
rekodi kwa vifo vya wasanii;
wakongwe na chipukizi.
22. Uandikisha daftari la
mpiga kura wafanyika kwa
majaribio - malalamiko kila
kona ya maeneo husika.
23. Waziri Kiongozi akiri bila
Tanganyika, Zanzibar haiwezi
kusimama yenyewe.
24. IGP astaafu rasmi;
ateuliwa mwingine.
25. DPP abadilishwa.
26. JK avunja rekodi kwa
kugawa mikoa na wilaya.
27. TRA wabadili namba za
pikipiki na bajaj kwenda MC
101 AAA kana kwamba
halikuonekana mwanzoni
wakati namba mpya za
vyombo vya moto
zilipobuniwa - poor planning.
28. Tanzania yazidi kutengwa
EAC.
29. n.k.
Ongezea na la kwako ambalo hutolisahau.