Matukio Live kupitia WEBACM-Nipo Live nime maoni yako sasa hivi.

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
691
Tazama sasa hivi ni saa 12.58 jioni
kama unaniona nimevaa vipi,nasema nini
ikifanikiwa hii ,tunaachana na mambo ya kutegemea TV za kibongo kama leo tulivyokosa matukio muhimu Tabora,Uganda,Dar.

ni katika test,ikifanikiwa tunaifundisha watu tuwe tunafanya wenyewe.

nipe update wakubwa

gonga hapa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
twende
 
huyo hapo pembeni ni nani ? wife nini

Nipe taarifa mnaona hii tunaweza kuitumia katika kuleta matukio live,badala ya kutegemea hizi tv zetu za kibongo?

mbona hamnipi taarifa?.Kesho tuanze kufundishana ,ili tubalishe mwelekeo wa ukiritimba wa wa hizi media zetu.

Usiku mwema wakubwa.

Byabato
 
Hah hah hah! Nyie watu ni noma sana jamaa anataka mmupe taarifa kama mnamsikia na kumuona nyie mko busy kumuangalia aliyepembeni yake....Dah! tutafika tu hivyo hivyo !
 
Tazama sasa hivi ni saa 12.58 jioni
kama unaniona nimevaa vipi,nasema nini
ikifanikiwa hii ,tunaachana na mambo ya kutegemea TV za kibongo kama leo tulivyokosa matukio muhimu Tabora,Uganda,Dar.

ni katika test,ikifanikiwa tunaifundisha watu tuwe tunafanya wenyewe.

nipe update wakubwa

gonga hapa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
twende

@ Mathias Byabato . Link haionekani. umeibadilisha au is it just me ?

B.P
 
Wakubwa
Leo tuendelee na majribio yetu tuliyoanza jana usiku ya namna ya kurusha matukio LIVE bila chenga.(video)

Lengo hasa najaribu kuona kama tunaweza kuwa tunapata baadhi ya matukio popote duniani bila kutegemea hizi tv za kibongo.

ikifanikiwa hii,tunafundishana humu humu JF ,ili tuwe tunajua kinachoendelea popote,bila kuchakachuliwa na yeyote.

sasa nato link tena hapa iwapo utaniona,kusikia nisemacho topa taarifa hapa hapa,ulichoona,ulichosikia nk

mimi nipo bukoba,mkoani kagera. na hivi sasa ni saa 11:12 asubuhi,
nitakwenda ku-conect muda mfupi na naona umeme umekatika hivyo naweza kutopka hewani kwani mashine haina power ya kutosha lakini lete mrejesho kwa utakachoona
Link yenyewe ni Mkutano (majaribio) - Live Streaming Webcam from Tanzania
Tatizo ni kuwa siwezi kuona kinachorushwa kwa sababu za kiufundi(nazifanyia kazi).

nitaanza iwapo nitapata taarifa hapa kwamba kuna ambaye anatazama

lete taarifa tuanze,hii kazi ni free na kila mmoja anaweza fanya

au piga 0754527358
 
mkuu kuna tofauti gani ya kuhangaika hivi? si ungefungua tu account kwenye skype? its easy and quality than this or whats the difference
 
Mkuu hii njia ni safi sana kwani ukisha-conet kwa log in basi unachomoa hata modem haitumi tena interenet ni sawa na bure kabisa,yahani inahitaji kama ssh 200 kufanya hivi.nadhanii ndiyo tofauti kubwa sana,au wasemaje
 
mimi nimefungua link naona wazungu tu mbona ww sikuoni Byabato, nafanyaje?
 
Back
Top Bottom