matukio chuma-mmoja wa wanaume wachache wenye ngozi nzuri,nyororo yenye mngaro wakuvutia.

Cheusibells!!
Huyu ni probably ni mwanaume, lakini ana character (haiba) na qualities zote za mwanamke.
Kuvutia na kuwa na ngozi nyororo hazimsaidii sana katika viwango vya mwanamme wa shoka.

Huyu nimeridhika ni mwenzao kina Cheusi, angalia picha ya mwisho ameweka mfuko wake chini wakati anapozi kwa picha-mifuko ya aina hii hatubebi sisi ni wao pekee!!!
 
Baho baho bahoooooooooooo!!!

WATOTO WAMENONA SANA HAWAAA....

A677BA18.jpg

MBONA HUYU HAMUMSEMI WAJEMENI.......

Kanumba-suraWEB.jpg
 
nimeshangaa kweli ikabidi nichukue glasi ya maji baridi............mwanaume anasifiwa kwa ngozi!!!!!!

give me a break!!!!khaaa
 
Mwacheni bana na yeye ni binadamu kama wengine. Ameamua kufuata hisia zake alimradi asiwe kero kwa wengine
 
................sina hamu na uyu mtu...nilienda party moja hv (nilialikwa na couzin wangu) jamaa bwana kumbe kanizimika...kaanza kum'bana sista ampe contacts zangu (two dayz later)...siku ya siku sista karopoka home ...........'matukio anamtaka fulani'.......niliishiwa pumzi na nguvu..nlijitetea wapi tena bora ningekaa kimya..nalaani hii tabia kwan nguvu zote..wapo vijana wengi maarufu apa mjini wanabembeleza wanaume wa kuwabashia...wanaume tumeisha!!
 
ujue haya mambo yana utata.
sijui nimwamini nani kati ya wewe unayesema unamfahamu kuwa ni shoga na mwingine naye anadai anamfahamu kuwa sio shoga.
wasiwasi wangu ni kuwa usikute kaka Matukio ni kidume cha mbegu chenye tabia za kibasha kimetaka namba yako kikidhani wewe ndio mchele.Mim nasema tu natanguliza na samahan sina haja yakukukosea heshima lkn ujue hii dunia yetu imejaa laana anything is possible unaweza kutoka kifua mbele ukidhani unaenda kula ubwabwa ukajikuta bila kutegemea ubwabwa wako ndo unaliwa.
cha msingi ni kujikita karibu ya Mungu na kumuomba atuongoze ktk njia zimpendezazo na kuwaombea waliopotea njia.
wewe kama una ushahidi huo kuwa matukio sio riziki ulipaswa kumuombea na kujiombea wewe kwamba kwa nini akutamani wewe,huon kutamaniwa na kidume chenzako ni nuksi na mikosi?
Mim nimeleta tuongelee ngozi nyororo matokeo yake tunajadili mambo yanayoweza kumfanya binadamu mwenzetu apate depression kama haya msemayo sio kweli juu yake.
 
Huyu nimeridhika ni mwenzao kina Cheusi, angalia picha ya mwisho ameweka mfuko wake chini wakati anapozi kwa picha-mifuko ya aina hii hatubebi sisi ni wao pekee!!!

kuna ushahidi gani kuwa hilo begi ni lake?
kama je ni la wifi?
au linaweza hata kuwa la mtu mwingine.
hebu toa kigezo kinachoashiria kuwa hilo ni begi lake.:disapointed:
 
mwalimu wangu mmoja wa saikolojia alitoa mfano siku moja kuwa ukiona mwanajeshi aliyepangiwa kwenda vitani akisema kila saa jinsi asivyoogopa kifo basi ujue askari huyo anakiogopa kifo kupita maelezo.
nawaachia thread muichakachue mtakavyo ila napenda mjue kuwa
YESU ANAWAPENDA.
 
kuna ushahidi gani kuwa hilo begi ni lake?
kama je ni la wifi?
au linaweza hata kuwa la mtu mwingine.
hebu toa kigezo kinachoashiria kuwa hilo ni begi lake.:disapointed:

Inawezekana hilo begi ni la wifi, inawezekana ni la mtu mwingine, ni kweli inawezekana sio lake lakini bado mimi binafsi naamini kwamba ni lake, kwa nini? POZI tu, ana pozi linalofanana na mabwabwa, kama huyu si bwabwa kwa kweli siwezi kumuomba msamaha inabidi ajilaumu binafsi kwa kutusababishia sisi tumfikirie hivyo!!
 
Back
Top Bottom