matukio chuma-mmoja wa wanaume wachache wenye ngozi nzuri,nyororo yenye mngaro wakuvutia.

Huyu inaonekana anazo mbili, mimi mara ya kwanza kumwona nilidhani ni binti, kumbe mwaume!!!!!
 
198836_10150125646264728_587399727_6196097_1867869_n.jpg

n587399727_1139453_3906.jpg

209013_10150129764729728_587399727_6227703_6048090_n.jpg

167178_487172964727_587399727_5636566_6814183_n.jpg

164358_487200259727_587399727_5637210_8022177_n.jpg

huyu kijana kwa kweli ana ngozi nyororo saana.
Yaani ngozi yake ina weusi fulani wenye mngaro kama wa silk hivi.
Matukio mbali na kuwa mmoja wa wanaume wenye ngozi nzuri zakuvutia pia ana foundation yake yenye kutoa misaada ktk jamii.

Huu ndo ushenzi gani? Mwnaume asifiwi kwa ngozi nyororo. Aliyepost na yeye wote mashoga tu
 
binadamu bana hatuaminiki,mmembiwa ni mwanaume ooh mbona kama mwanamke,mngeambiwa ni mwanamke mngekuja oooh mbona yuko kama mwanaume.....:bored::bored:
 
yaani we acha tu..
Kuna event moja ya fashion nilienda...
Nikatafuta kiti nikae
kumbe bila kujua,kushoto kuna shoga na kulia pia...
Kulikuwa na mwanga hafifu..
Kuja kushtuka....duh..nusu niwatimue..
Sijarudi tena kwenye events za aina hii
Hahaha! sasa uwatimue wa nini si walilipa kiingilio wewe ndo ulitakiwa kuhama lol! kuna mibwabwa kwenye grosari ya nje walidai eti sigara yangu inawasumbua nikawaambia wahame basi kwakuwa tuko nje na sio ndani.
 
kweli milima haikutani.
yaani nikielezea ninavyokumiss....
heri nimekuona sabato yangu itakwenda vizuri.
 
198836_10150125646264728_587399727_6196097_1867869_n.jpg

167178_487172964727_587399727_5636566_6814183_n.jpg

huyu kijana kwa kweli ana ngozi nyororo saana.
Yaani ngozi yake ina weusi fulani wenye mngaro kama wa silk hivi.
Matukio mbali na kuwa mmoja wa wanaume wenye ngozi nzuri zakuvutia pia ana foundation yake yenye kutoa misaada ktk jamii.

Cheusibells!!
Huyu ni probably ni mwanaume, lakini ana character (haiba) na qualities zote za mwanamke.
Kuvutia na kuwa na ngozi nyororo hazimsaidii sana katika viwango vya mwanamme wa shoka.
 
NI KAWAIDA KWA WANAUME WANYE SURA "ZA KIKE" KUITWA MASHOGA, BINAFSI SITAKI KUMHUKUMU HUYU MA-EVENT IRON COZ SIJUI KAMA NI SHOGA KWELI THOUGH KWA JINSI ALIVYO, NA HAYO MAPOZI, HUENDA NI BWABWA KWELI.

HATA DOGO MWENYE MA MILLIONA YA MASHABIKI, JUSTIN BIEBER, WANAMUITA SHOGA, BUT I THINK NI KWA JINSI ANAVYOZIMIWA NA VIMWANA, NA UKICHEKI PAGE YAKE YA FACEBOOK INA "LIKES" ZAIDI YA MILLION 24, AMBAZO NI ZAIDI HATA YA PAGE YA OBAMA, AU YA CLUB YA MAN U.

BUT LIKE WISE KUNA PAGES KIBAO ZENYE HUNDRED THOUSANDS OF LIKES, ZINAZOPONDA KUWA DOGO NI BWABWA.

Justin Bieber | Facebook

AND THIS

I Hate Justin Bieber | Facebook
 
Yaani miezi hata salaam ? nikituma hujibu,mi mzima nataraji nawe u mzima.

nadhani yatakua ni matatizo ya mitandao yetu hii ya kibongo maana kila ukiniandikia nakujibu,sijui zinapotelea wapi.hivyo niwie radhi.
mim ni mzima.
ntakupigia nataka kesho nikutoe out tayarisha ile suti niliyokusifia kuwa inakupendeza nami ntavaa kile kimin ulichosema kinakufanya ushindwe kupumua.
 
Haya yameisha si unajua mi kwako ni bubu lol!
 
ni mzuri tuache utani,mie napenda mwanaume wa hivi sio sura nguuuumu kama jiwe eti ndio uanaume jamani haihuuuuuuuuuuuuuuu!:tape:
 
sana tena namfahamu fika kuwa matukio si shoga ila si unajua mijitu mingine mishamba ukijipenda shoga, mtoto wa watu smart kuanzia mwili mpaka kichwa chake anaakili kupita maelezo
Why kila mwanaume anayejipenda na kujijali anakuwa branded kama Shoga? maskini Matukio Chuma, sikutegemea kusoma haya niliyoyasoma hapa kuwa wewe ni shoga uliekubuhu toka UDSM. I hope unasingiziwa mdogo wangu.

Please tusimdhalilishe mwenzetu kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom