matukio chuma-mmoja wa wanaume wachache wenye ngozi nzuri,nyororo yenye mngaro wakuvutia.

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
497
198836_10150125646264728_587399727_6196097_1867869_n.jpg

n587399727_1139453_3906.jpg

209013_10150129764729728_587399727_6227703_6048090_n.jpg

167178_487172964727_587399727_5636566_6814183_n.jpg

164358_487200259727_587399727_5637210_8022177_n.jpg

huyu kijana kwa kweli ana ngozi nyororo saana.
Yaani ngozi yake ina weusi fulani wenye mngaro kama wa silk hivi.
Matukio mbali na kuwa mmoja wa wanaume wenye ngozi nzuri zakuvutia pia ana foundation yake yenye kutoa misaada ktk jamii.
 
  • Thanks
Reactions: no9
7.jpg

Huyo MC (0 mwenye nyeupe kulia) ni shoga maarufu toka tupo chuoni pale UDSM aisee mtoto kweli anaita sana watu wanafaidi
 
cheusimagala bwana... kumbe wewe ni gay activist!! kwa mtaji huo uimaskini baibai, jina la chuma linamfaa tena ana lips za kike kabisa
 
cheusimagala bwana... kumbe wewe ni gay activist!! kwa mtaji huo uimaskini baibai, jina la chuma linamfaa tena ana lips za kike kabisa

mim sikujua kama ni gay..na God knows jinsi ninalaani vitendo vya ushoga.
unamaanisha nini kwamba umaskini baibai?
 
mim sikujua kama ni gay..na God knows jinsi ninalaani vitendo vya ushoga.
unamaanisha nini kwamba umaskini baibai?

Unapenda wewe uwe na ngozi na lips zake au unatamani yeye (mwenye ngozi na lips) awe jamaa yako....
 
Unapenda wewe uwe na ngozi na lips zake au unatamani yeye (mwenye ngozi na lips) awe jamaa yako....

lips na ngozi yangu ni nzuri kushinda zake hivyo hana ninachokitamani.
nimemsifia uzuri wa ngozi yake sbb si kawaida wanaume kuwa na ngozi yenye uziri wa kiwango hichi.
singependelea awe jamaa yangu sababu napenda kuwa na mwanaume anayeonekana kuwa ni mwanaume kuanzia ngozi,mapozi yake na kila kitu.
ila hata kama mtu sio type yako sio vibaya kumsifia,na wala sina uhakika kama ni shoga kama watu wanavyosema,na kama ni shoga kweli mim sijasifia ushoga wake nimesifia ngozi yake.
 
mmmmmmmHHH!!JEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE UNGEPENDAAAAAA KUJUAAAAAAAAAAAAAAA?NAKUTUAAA KWENYE TUKIO PWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.SIMOOOOOOOOOOOOOOO
 
lips na ngozi yangu ni nzuri kushinda zake hivyo hana ninachokitamani.
nimemsifia uzuri wa ngozi yake sbb si kawaida wanaume kuwa na ngozi yenye uziri wa kiwango hichi.
singependelea awe jamaa yangu sababu napenda kuwa na mwanaume anayeonekana kuwa ni mwanaume kuanzia ngozi,mapozi yake na kila kitu.
ila hata kama mtu sio type yako sio vibaya kumsifia,na wala sina uhakika kama ni shoga kama watu wanavyosema,na kama ni shoga kweli mim sijasifia ushoga wake nimesifia ngozi yake.

Ok CM....teki kea ov yu....
 
Cheusimangala mbona haujibu swali hili? Si unapenda kulala na kugusa ngozi za wanaume wewe!?

hapo kwenye red mbona unanibanbikia kesi jamani.
siwezi kujibu swali ambalo sijalielewa,ndo maana sijajibu,sijui maana ya 'kinoma' na neno shaft.
 
Back
Top Bottom