Matukio bora kwenye kampeni ambayo sitayasahau kamwe maishani mwangu

DR.RWEYENDERA

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
404
386
Kampen Za Mwaka Huu Zimejaa Kila Aina Ya Vituko Na Kama Mzaha Fulan Wakati Watanzania Tunatafta Maisha Bora Wao Wanafanya Mzaha, Nimeya Rank Matukio Hayo Kwa Ubora,

1. Tetesi Na Minong'ono Ya Candidate Kujichafua Kwenye Stage, Uko Geita

2. Ma Candidate Wanasomba Watu Kujaza Mikutano Kwa Wingi Kutishana Kwa Wingi Wa Watu,

3. Kuedit Hotuba Za Mwalimu Kuzitumia Kwenye Kampeni

4. Kupiga Push Up Mgombea

5. Usanii Wa Kununua Kadi Za Mpinzani Na Kugawa Kadi Kwa Watu Na Kuzikusanya Baadae Eti Wamepata Wanachama Wapya

6. Maaskofu Kutuhumiwa Rushwa,

7. Usanii Wa Kukusanya Watu Kuwashawish Wajifanye Kumshawishi Mtu Kugombea,

8. Kusambaratika Kwa NCCR Mageuzi na CUF

Ongeza Zako Chini
 
hiyo ya saba hiyo ndio ilikuwa kiboko,maana nakumbuka jamaa alikusanya wahuni watupu yaan ukiwaangalia tu usoni unaona kabisa ni vijana wa mjini mjini eti ndio wachungaji kutoka sehem tofauti za nchi.
 
hiyo ya saba hiyo ndio ilikuwa kiboko,maana nakumbuka jamaa alikusanya wahuni watupu yaan ukiwaangalia tu usoni unaona kabisa ni vijana wa mjini mjini eti ndio wachungaji kutoka sehem tofauti za nchi.
Ili wakamshawishi kugombea
 
Mgombea fulani kupanda juu ya roof ya gari badala ya kupitia mlangoni loh halafu ni Ph.D holder
 
Watu walivyoanguka mkutano wa mgombea Fulani kule Tanga sijui walipatwa na kitu gani?!
 
kuwaombea kura mbunge na diwani wa ccm huko ifakara ilihali yeye ni mgombea wa cdm.
 
Nacheka sana kweli hule uchaguzi ulikuwa mutamu sana naye muhuni wa singeli alikuwepo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom