Mattaka aaga rasmi ATCL

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
AIR TANZANIA COMPANY LIMITED
STAFF NOTICE

STAFF NOTICE NO. 02 TO: ALL STAFF

ACTING APPOINTMENT

On 23rd February 2009, I was appointed to the NIC restructuring task force by His Excellency the President of the United Republic of Tanzania. The Minister for Finance and Economic Affairs has also appointed me to the Board of Directors of NIC effective from 23rd April, 2009.I have been informed that the appointment to the task force will be a full time job for six months effective from 1st May, 2009

In view of the above, the ATCL Board of Directors has appointed Mr. William Haji to act in the position of Managing Director and CEO with effect from 8th May 2009 for a period of six months or as it would be appropriate. While at the same time Mr William Haji will remain as substantive Director of Finance

You are asked to give him the necessary cooperation to enable him accomplish his responsibilities.

I wish ATCL all the best .

David E. Mattaka
MANAGING DIRECTOR & CEO

ISSUED BY: MANAGING DIRECTORS OFFICE

DATE: 11TH MAY, 2009

I wish ATCL all the best during this period.

David E. Mattaka
MANAGING DIRECTOR & CEO

ISSUED BY: MANAGING DIRECTORS OFFICE

DATE: 11TH MAY, 2009

...Tanzania, Bwana! Utadhani tuna uchache wa wataalamu kiasi cha mtu mmoja kupata ulaji huku na kule kwa mpigo!
 
...Tanzania, Bwana! Utadhani tuna uchache wa wataalamu kiasi cha mtu mmoja kupata ulaji huku na kule kwa mpigo!

Tanzania wengi hawaenda kwa sijui utaalamu, elimu au experience. Bongo connection tu, ukijuana na the right people haukosi pa kupachikwa.
 
...Tanzania, Bwana! Utadhani tuna uchache wa wataalamu kiasi cha mtu mmoja kupata ulaji huku na kule kwa mpigo!

Baba Desi huo ndo unaoitwa mtandao,watu hawa aligharamia kumweka mkuu mahali alipo sasa lazima alipe fadhila.
Tunachotakiwa watanzania ni kujifunza kutokana na makosa,lala salama inakuja ya mkuu sasa hiyo itakuwa kivumbi na jasho,kwani wakuu wengi wanajitahidi kufanya vizuri awamu ya kwanza ili waione na ya pili. Sasa huyu mkuu awamu ya kwanza ndo hii (kibogoyo maana hawezi kuuma) sasa ya pili siitakuwa balaa? wanamtandao watakuwa hawakanagi chini watatembea juu ya vichwa vyetu.
Hitimisho ni kwamba watu wapo tena wazuri sana lakini tatizo wazuri wengi hawana nafasi maana hawamo kwenye mtandao.
 
Recycling as usual.Suala la bwana Mattaka 'kuzawadiwa' wadhifa katika shirika jingine lilizungumzwa humu,lakini wapi bwana...Fadhila ndo jadi ya mkulu.
 
Mashirika ya Umma, hayatopiga hatua ya maana kwa staili hii ya MDs. Hivi yule aliyekuwa MD wa ATCL enzi za ubia na SAA (raia wa SA), aliipataje nafasi ya u MD? Any one who knows please.
 
mimi nauliza hivi ni njia gani walala hoi tutumie ili kudhibiti viongozi wabovu?
 
mimi nauliza hivi ni njia gani walala hoi tutumie ili kudhibiti viongozi wabovu?

Kupiga kura na kuchagua kiongozi makini. Na kwa vile CCM imekuwa ikitupatia bora kiongozi for years now baada ya Nyerere, ni wakati sasa wa kumchagua mtu yeyote nje ya CCM. Bora kubadilisha rais atoke upinzani kuliko kuzidi kuatamia CCM. Uongozi wa CCM ndio chanzo cha matatizo yetu.
 
tz mtu haangaliwi ana ujuzi gani ,unaangaliwa nani anakujuwa.hii nchi bora tumrejeshee mkoloni.tupo 40 million lakini wanaochaguliwa kila siku ni hao hao.jk pls tunakwambia hii nchi ni yetu sote.
 
tz mtu haangaliwi ana ujuzi gani ,unaangaliwa nani anakujuwa.hii nchi bora tumrejeshee mkoloni.tupo 40 million lakini wanaochaguliwa kila siku ni hao hao.jk pls tunakwambia hii nchi ni yetu sote.

Mkuu, yana mwisho haya. Mungu hawezi kuliacha taifa letu liangamie kwa upuuzi kama huu!
 
tz mtu haangaliwi ana ujuzi gani ,unaangaliwa nani anakujuwa.hii nchi bora tumrejeshee mkoloni.tupo 40 million lakini wanaochaguliwa kila siku ni hao hao.jk pls tunakwambia hii nchi ni yetu sote.

You are kidding me nani kakwambia nji hii ni yetu sote? Hii NJI ina wenyewe na wenyewe ndio hao wanaozidi kuzungushana kila mahali.
 
Jamani lakini si walisema badala ya kutumia vitu vipya which vitacost a lot of energy to make, ni bora tutumie recyles? Ama nakosea maana ukiangalia toileti paper ni recyle, paper plates recycle, vyuma recyled, viongozi wetu nao recycled sasa kuna ubaya ganii??
 
...hslsfu hao viongozi wanadhani WATANZANIA ni recycled
subutuuuuu
 
Tanzania, Bwana! Utadhani tuna uchache wa wataalamu kiasi cha mtu mmoja kupata ulaji huku na kule kwa mpigo!

Bongo hapa ni TECHNICAL KNOW WHO! si TECHNICAL KNOW HOW mkuu!
 
Kuna tofauti gani na kuhamisha 'wallet' kutoka mfuko wa kulia kuipeleka mfuko wa kulia?
 
Natumai unamzungumzia Dumisani Sangweni, yule aliteuliwa na Board ya kipindi kile ambayo South African Airways ndio ilikuwa na nguvu, kwani hata mamlaka mazima ya kuendesha kampuni yalikuwa chini ya SAA ingawa serikali yetu ilikuwa na majority Share 51% to 49% za SAA.
The guy yupo kwao South Africa.Ni shemeji yetu siku hizi, kwani kabla ya kuondoka alioa Dada yetu wa Kitanzania mtoto wa Mzee Felix Mosha.
Ila sijakuelewa mzee, ulitaka arudi huyo kuongoza ATCL?
 
The guy yupo kwao South Africa.Ni shemeji yetu siku hizi, kwani kabla ya kuondoka alioa Dada yetu wa Kitanzania mtoto wa Mzee Felix Mosha

WAAMBIE UKWELI....ANA KULINDIA DADAKO HAPA HAPA TANZANIA...YUKO KAMA CEO MMOJA KWENYE KAMPUNI MOJA MWANZA...KULE ANAENDA KUTEMBELEA LAKINI BI MKUBWA AMEMSHIKA SI KITOKO........UTASEMA MTANZANIA...SASA HIVI ANAJUA UNA.....ACHA UJI.....NK KAMA ALIZALIWA UKEREWE
 
hii ndio serikali yetu..mtu akionekana amevurunda sehemu haadabishwi bali anahamishwa tu kutoka hapa kwenda kule. Ulaji unaendelea.

Wasomi wote waliopo wanaonekana hawajui kitu..ndio maana wengi solution ni kujitafutia kazi nje ya nchi ambako at least mtu unathaminiwa kwa elimu na mchango mtu anaotoa???

Lakini inabidi tupambane...hii hali inatia kichefuchefu na hasira juu
 
Back
Top Bottom