Matola Nimeingizwa Majaribuni Ewe Mwenyezi Mungu nisaide

Status
Not open for further replies.
Story ya kutunga hii!
Tangu mwaka 2012, wachangiaji hawajafika 20.
Hata kifo cha Kanumba hakikufikia bajeti hiyo.
Labda ka unazungumzia kifo cha Nyerere.

Too low for you, kwa akili yako ndogo unadhani kila mtu anaexpose maisha yake halisi hapa mtandaoni? Nini mantiki ya kutumia fake ID?
 
kemea roho chafu ya tamaa ya pesa na usiwe na mawazo kama hayo kwani unapowaza waza sana automatic utajikuta unachakachua....! Hiyo roho na ishindwe in chizaz name!
 
Ni milioni 70 au 60?
Mkuu angalia maana naona tayari ni kama ushaanza kujikanganya...hebu rudia upya!

kemea roho chafu ya tamaa ya pesa na usiwe na mawazo kama hayo kwani unapowaza waza sana automatic utajikuta unachakachua....! Hiyo roho na ishindwe in chizaz name!

Thread ni Irrelevant for now.

Please Moderator Invisible close the thread Asap.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom