Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya walioomba nafasi za mafunzo ya ualimu na afya 2013/2014 yatatoka lini wadau nijuzeni kama

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by HAMIS MOHAMED, Jun 7, 2013.

 1. HAMIS MOHAMED

  HAMIS MOHAMED JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2013
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 18
  Selection za ualimu, afya na kilimo za toka lini wana jf nijuzeni
   
 2. C

  Concrete JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2013
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,609
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kuna tetesi zinatembea maofisini zinadai kabla ya tarehe 24/June mwaka huu, post za watumishi wapya wa Afya zitakuwa zimetoka.

  Tetesi hizo zina uthibitisho mkubwa kwani Tangazo rasmi la wizara ya Afya linawataka watu wote watakaoajiliwa kuripoti kwenye vituo vyao watakavyokuwa wamepangiwa kabla ya tarehe 25/June mwaka huu.
   
 3. D

  Duniaze JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2013
  Joined: Feb 27, 2013
  Messages: 135
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  umeelewa maada kaka au upo tungi!
   
Loading...
Similar Threads - Matokeo walioomba nafasi Forum Date
MATOKEO HAZARANI YA WALIOOMBA CLINICAL OFFCER diploma NACTE Jukwaa la Elimu (Education Forum) Sep 15, 2015
Matokeo yametoka kwa walioomba vyuo vya kilimo Jukwaa la Elimu (Education Forum) Aug 8, 2014
utaratibu wakupata matokeo kwa wale wa equivalent walioomba direct vyuoni ni upi? Jukwaa la Elimu (Education Forum) Aug 22, 2012
Sua matokeo ya walioomba kwa equivalent yametoka? Jukwaa la Elimu (Education Forum) Aug 22, 2012

Share This Page