matokeo ya walimu grade na diploma yametoka wa mwaka 2013

HOSEA EMANUEL

Member
May 30, 2013
7
0
tatizo la serikali ya tz ipo mfukoni mwa watu tumesikia walimu wa grade na diploma mwaka huu wa 2013 matokeo yao si mazuri nawapa pole ndugu zangu tatizo ni sera mbovu ya serikali ya ccm ya sahihisha ufaulu uendane na kipato cha nchi kuweza kuwajili
 
Back
Top Bottom