silver25
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 743
- 44
Kiukweli inauma sana kwa kitendo ambacho tume wanakifanya sasa hii,, halafu hawana hata aibu hawa wanasheria kwa mfano lewis Makame, anafikiri watanzania ni mambumbumbu kiasi cha akufikia kutudanganya vitu tunavyo vijua na tuna ushaidi navyo
Mimi nasema Dr. Nenda kashinikize uxchaguzi huu urudiwe kwa gharama yeyote,, kama inawezekana wakodi tume kutoka KENYA,, na kama haiwezekani basi achukuliwe muwakilishi kutoka UN ili haki itendeke..
Maana hawajamaa wamezidi kuchakachua kura