Elections 2010 Matokeo Ya Urais, kulikoni jamani?

Aristides

Member
Oct 26, 2010
9
0
Jamani wanajamii mbona matokeo ya urais yanatangazwa kwa kusuasua natena kwa upendeleo"naimanisha yanatangazwa kule mgombea wa urais wa CCM anakubalika!
 
Jamani wanajamii mbona matokeo ya urais yanatangazwa kwa kusuasua natena kwa upendeleo"naimanisha yanatangazwa kule mgombea wa urais wa CCM anakubalika!
 
ndio yanatangazwa sasa, angalia tv utaona live. Jumla yameshatangazwa majimbo 60, Dr. Slaa kashida jimbo moja tuu la Bukoba Mjini.
 
Back
Top Bottom