Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Tarime

UPDATE: Kwa mujibu wa TBC1 Vicent Nyerere ameshinda kiti cha ubunge Musoma Mjini kwa tiketi ya CHADEMA kwa kura zaidi ya 20,000 huku mgombea wa CCM akipata kura kura 14,000 hivi.....hii ni rasmi sasa Musoma mjini
 
Hao mashetani akina Mukandala walijidai wana nguvu za kisomi kumbe unafiki. Lakin anatakiwa ajiuzulu sasa UVC maana hatuna imani naye atawaandaa vipi wanafunzi ambao wanatakuwa viongozi wa kesho?
Utawala mpya wa Dr. Slaa unapaswa kuifumua na kuisuka upya senate ya Chuo Kikuu......................UDSM..................imefika mahali hata udakitari wa heshima unatolewa kisiasa.....mfano walitumia misingi gani kumuenzi fisadi mkuu wa Takukuru Bw. Hosea kuwa daktari kama siyo Senate ys UDSM inaendesha ufisadi.......

Jamani yaani baada ya Hosea kuteuliwa na Jk ili kuulinda ufisadi UDSM ikaona ili kumlinda ni kumpa udaktari hewa..............Yaelekea Senate ya UDSM ilimuenzi Hosea ili asifuatilie ufisadi wao pale UDSM......

Huu udakitari wa Hosea unapaswa kufutwa ili kulinda heshima ya vyuo vikuu hapa nchini.................
 
Matokeo tayari yametangazwa Musoma Mjini, Vicent Nyerere kura 25,000 hivi na Vedastus Mathayo 19,000 hivi. CHADEMA HOYEEE:israel:
 
Vicent Nyerere amepata kura 21,335 (asilimia 56.71) dhidi ya Vedastus Mathayo amepata 14,072 (39.38%) kushinda jimbo la Musoma Mjini.

Watu waliojiandikisha 79,527
Kura zilizopigwa 36,230 (sawa na asilimia 46)
Kura halali 35,732 na kura zilizoharibika 498
 
Kwa mujibu wa ITV Live wagombea wamesaini na kukubali hayo matokeo na ni nderemo na chereko chereko!
 
Imetangazwa rasimi kwamba Vicent Nyerere ameshinda jimbo la Musoma Mjini!
hongera sana

PEOPLE'S POWER
 
vicent nyerere kamapata 21335=56
v mathayo kapata 14072
m wandi 213
ndege 53
tabu saidi 19

jumla waliojiandikisha 79527
 
Tarime watu wana akili timamu kule. wanaelewa wazi kwa tulipofikia CCM haiwezi tena kuongoza nchi kwa maslah ya watanzania bali wanaweza kwa maslah yao binafis. Big up my home land TARIME

Hapo nilipoweka red color, ni kwamba CCM haikuwahi kufanya lolote kwa manufaa ya watz, hufanya kwa manufaa ya vigogo na chama chenyewe!!
 
Unaonaje? kWA MAKENGEZA? Mbona CUF wamechukuwa Mtwara hizo ni kura za waislam tu? Mantiki ni kwamba ccm wamekataliwa!!!!!
 
Hao ni kama Sheikh Yakhaya;walitumiwa na CCM. Kule kigoma yawezekana kabisa kutakua na mseto . Matokeo yanaonyesha kata 10 kwa chadema na 9 CCM
Hata matokeo yabadilike REDET na SYNOVATE wamepoteza sifa ya kuaminika na na inatakiwa wafunge kazi zao Chuo Kikuu na nchini.
 
Back
Top Bottom