Nyikanavome
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 482
- 176
Mimi mpaka sasa hivi nasubiri matokeo rasmi ya serikali za mitaa kwa nchi nzima. Nasikia tu chama tawala kimeshinda kwa kishindo ila hakuna data za Tanzania nzima.
Wizara inayohusika naona iko kimya bila kusema ni lini itatangaza matokeo hayo kwa inchi nzima, au ndio kila mkoa unajitangazia matokeo kivyake?
Wizara inayohusika naona iko kimya bila kusema ni lini itatangaza matokeo hayo kwa inchi nzima, au ndio kila mkoa unajitangazia matokeo kivyake?