Elections 2010 Matokeo ya uchaguzi mwaka huu ni rasharasha mvua yenyewe ni 2015

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Ndugu zangu nimekuwa nikifuatilia matokeo ya uchaguzi mwaka huu kwa ngazi zote tatu za urais, ubunge na udiwani. Kwa kweli matokeo yanatia moyo na kuamsha ari ya mabadiliko zaidi. Hii ni salamu tosha kwa chama kilichokubali kuongozwa na "waswahili" wenye kiburi na dharau kubwa, wanaokumbatia mafisadi. Na hizi ni rasharasha tu. Mvua yenyewe itanyesha mwaka 2015 Mungu akitujalia uzima.
 
Mh.. jamani kwani kimetokea nini???

Mbona nahisi harufu ya kushindwa inanukia hapa....

Tusikimbiane jamani, chondechonde....
 
Back
Top Bottom