Je ni bora kupinga matokeo kabla ya kutangazwa na tume au ni vema kunyamaza kisha kulalamika wakati rais kesha tangazwa na kuapishwa? kwa maoni yangu naona ni bora kulalamika na kuonyesha kasoro na madhambi yaliyofanyika kabla matangazo hayajakamilika ili haki itendeke...hii ni kwa kuwa sheria ya nchi hairuhusu kupinga matokeo ya urais mara yanapomaliza kutangazwa na rais kuapishwa!!!!