Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Morogoro

mie naona tungeacha kujaza habari za vituo hapa,bora mtupe ya kikata au jimbo tukajua wapi tumeshindwa wapi tumeshinda,hutu tuvituo tunaweza dhania tumeshinda kumbe vituo tu baadae tukaanza kulia hapa
 
Kituo cha Chuo Kikuu SUA-Mazimbu Campus:

URAIS CHADEMA 286 CCM 147 CUF 3
UBUNGE CHADEMA 246 CCM 136
UDIWANI CHADEMA 247 CCM 161

Bye bye CCM bye bye Kikwete
Slaa huyooooooooooooooooo IKULU
 
Chadema wameshinda udiwani kata ya malinyi, mshindi ni said tira amemshinda diwani aliyekuwa anatetea kiti ndg mussa mbowela, mchuano uko kati professa mlambiti wa chadema na hadji mponda wa ccm, kwa matokeo ya tarafa ya malinyi na tarafa ya ngoheranga chadema wamepata 70% ya kura zote, kama chadema wataweza kugawana kura na ccm ktk tarafa ya mtimbira basi ni dhahiri mkoa wa morogoro unatoa mbunge wa kwanza mpinzani kwa tikiti ya chadema.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom