Zubeda unaanza kukataa matokeo.
Moro mjini ni issue wapinzani kushinda
VERY SORRY MY BROTHER Na hata Tabata ni kind of similar wametangaza kwenye radio kama dakika tano zilizopita mkuu...:rip:muongo wewe!! Kura bado hazijaanza kuhesabiwa unaanza uchimvi na kutaka kuleta vurugu!! Matoke ni mpaka kura zihesabiwe!!!
"...Kaka kituoni kwangu CCM 43, CHADEMA 65, CUF 3, APPt 1, zimeharibika 2..." Kwa njia ya SMS.