Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Kigoma

Hapa Arusha CCm haina chake chadema imechukua viti 14 mpaka sasa....na kwa mahesabu ya mawakala ni kwamba Lema amemshinda tena kwambali sana mpinzani wake CCM na kwa upade wa Urais nako CCM ina kimbinzwa mfano nimepata matokeo ya kata ya Elerai

Chadema = 48220
ccm= 3992
 
jimbo MUHAMBWE wilaya kibondo CCM hoi,NCCR yapeta

Mchuna ngozi wa CCM kabwagwa? Alhamdulilalahi, maalbino watafurahi sana. Zitto Kabwe kashinda Kigoma kaskazini, more data tunasubiri kutoka kwake
 
Mkuu Pax labda uzifananishe na ile come back ya Liverpool mwaka 2005 ktk fainali ya Champions League dhidi ya AC Milan!
I said once kwamba it will be like Goliath and David.
When God says yes NO one will ever resist much less mafisadi!!!!!!!!!!!!!!

Hapana.
Hiyo uifananishe na lile goli la pili la Super Pippo alilolifunga mwaka 2007 pale athens...
Then naomba tuendelee na siasa.
Maswala ya mpira tutakutana kwenye jukwaa lileeee.
Wengine ni waumini wa Milan ndugu.
 
Rombo, Hai na Moshi Mjini, Chadema wamechukua ubunge! Vunjo, mdogo wake CCM, TLP amechukua ubunge.
 
jimbo MUHAMBWE wilaya kibondo CCM hoi,NCCR yapeta

CCM waliweka jambazi wakategemea rushwa, wananchi wamewaadhibu.

You cannot fool all people at all times! Yana mwisho thithiem!! Hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Kigoma mjini CCM wanaongoza kwa tofauti ya kura 1700 dhidi ya Chadema.

kigoma kusini NCCR Mageuzi
Kigoma kaskazini Chadema imetetea jimbo.
Kasulu Mashariki - NCCR Mageuzi inaongoza kwa zaidi ya nusu ya kura.

Source: Richard Katunka, Star TV
 
Kuna habari za uhakika kuwa fisadi mdogo mwenye vyeti vya [dr] ya kufoji NCHIMBI kaangukia pua huko Songea!!
 
Hapa Arusha CCm haina chake chadema imechukua viti 14 mpaka sasa....na kwa mahesabu ya mawakala ni kwamba Lema amemshinda tena kwambali sana mpinzani wake CCM na kwa upade wa Urais nako CCM ina kimbinzwa mfano nimepata matokeo ya kata ya Elerai

Chadema = 48220
ccm= 3992



Safiiiiiiiiiii.. tupeni data kamili wakuu
 
Hizi counter attack za CHADEMA sijawahi kuziona hata kwenye EPL au bundesliga au spain, ni balaaaaaaaaa!
Acha conter attack, CHADEMA waliweka TRIPLE CENTRE HALF, hakatizi kima yeyote kufunga! Kudadadeki!
 
Back
Top Bottom