Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Majimbo ya Iringa

Nilishawaambia watu Iringa CCM wakishinda nahamia Karatu au Tarime! Siwezi kaa Jimbo linalotawaliwa na CCM. Ni hatari. Sasa nitabaki Iringa, tushirikiane na Msigwa kuleta maendeleo. Weraweraaaaaaaa!
 
Haya sasa kazi kwako Maggid Mjengwaa tupe article nyingine ya uchambuzi wa wana-Iringa!! heheheheh
 
yaan saiz huku full vifijo...kwa mbalaali naskia sauti za watu wakimalizia malizia kushangilia..kila mtu na staili yake...mara unaskia vuvuzela..mara peeeopleezzz afu mwengine mtaa wa ngapi cjui huko anajibu pooooooweeerss!!
 
huwezi amini mpaka saiz nasikia kelele za kushangilia maeneo ya stendi kuu huko...hadi raha jamani...mwee!!
 
Asante wanyalukolo wenzangu wa Iringa kwa kuonyesha mabadiliko. Inguluvi iwatange.........................................!!!!!!!!!!!!!!
 
CHADEMA tumeshapata halmashauri tatu mpaka sasa. Musoma mjini, Moshi mjini na Iringa mjini. tunasubiri matokeo mengine
 
Safi sana shemeji zangu. Mmetoa hukumu ya haki. Mwendo mdundo, na bado tutaendelea kukamua sehemu zingine. CHADEMA hoyeeeeeee!
 
nyela ndauli vanyalukolo? maamuzi yenu nayaheshimu sana kuanzi kitwilu,kibwabwa, ipogolo indiuka kitanzini
uhindini mshindo mlandege kiodombi kihesa weraaa weraaaaa
 
Back
Top Bottom