matokeo ya shule nabii japhet mungira ya efatha sec school s.4197 wamefeli wote kasoro wa2

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
huyu ndiye nabii mchungaji josephat mungira wa kanisa efatha la mwenge matokeo ya shule yake ni
division one-o,division two-2,division 3-2,divison 1v--121 na zero--157
 
shule za kisanii hizi, wanachojali mtoto awe amelipa ada, basi!!!
hakuna cha continous assesment test wala nini.
 
Na serikali inachekelea tu!!! futilia mbali hiyo shule,inazalisha wajinga badala ya kuzalisha wasomi.
 
[h=3]s1806 yusuf makamba secondary school
[/h][h=3]div-i = 1 div-ii = 7 div-iii = 18 div-iv = 139 fld = 185[/h]
 
huyu ndiye nabii mchungaji josephat mungira wa kanisa efatha la mwenge matokeo ya shule yake ni
division one-o,division two-2,division 3-2,divison 1v--121 na zero--157


Miujiza bila kusoma, hao sio manabii ila matapeli waliokuja kuwafanya watanzania kuwa masikini zaidi, maana vipato vidogo vinaishia kanisani.
 
[h=3]s0410 uzini secondary school
[/h][h=3]div-i = 0 div-ii = 0 div-iii = 1 div-iv = 17 fld = 0[/h]
 
swala ni kwamba weng hamfahamu kuhusu Efatha shule hiyo tumeinunua mwaka jana shutuma hizo apewe aliye tuuzia alaf kitu kingine kuweni na nidhamu juu ya hich chombo cha Efatha na Mtume Mwingira matokeo ya hiyo shule ni mwakan ndo mtaongea
 
Back
Top Bottom