Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya necta kidato cha pili 2013

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by badian kinwiko, Dec 22, 2013.

 1. b

  badian kinwiko Senior Member

  #1
  Dec 22, 2013
  Joined: Dec 8, 2013
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya wakuu, nauliza matokeo ya NECTA ya watoto wetu wa kidato cha pili mwaka 2013, yanatoka lini? Naomba anayefahamu atupe majibu hapa, maana ninasubiri kwa hamu sana.
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2013
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 16,219
  Likes Received: 1,173
  Trophy Points: 113
  Mpigie simu Mwalimu wake mkuu au Mwalimu wa Taaluma atakuambia yote yale utayotaka fahamu Kuhusu Matokeo ya Form Two
   
 3. M

  Master plan JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2013
  Joined: Dec 24, 2012
  Messages: 2,869
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 63
  Aaaaaaghrrr.
   
 4. K

  Kobaba JF-Expert Member

  #4
  Dec 22, 2013
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 18
  NECTA haihusiki kabisa na matokeo ya kidato cha pili.
   
 5. LILENDI

  LILENDI JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2013
  Joined: Oct 27, 2013
  Messages: 1,408
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nenda ofisi za NECTA watakujuza
   
 6. louis de broglie

  louis de broglie JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2013
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 962
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 28
  hadi January mkuu
   
 7. Plesis

  Plesis JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2013
  Joined: Dec 24, 2012
  Messages: 378
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 18
  necta hawausiki na tokeo la form2 n moevt ndo wanadeal nayo
   
 8. S

  Stoney Member

  #8
  Dec 26, 2013
  Joined: Dec 23, 2013
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukionana na hawa akina kawambwa na mlugo majb wanayo
   
 9. kabanga

  kabanga JF-Expert Member

  #9
  Dec 26, 2013
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 25,099
  Likes Received: 1,190
  Trophy Points: 113
  yatatoka karibuni....
   
 10. M

  Msingida JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2013
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 2,821
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 48
  Nashauri necta wangeya "post" kama walivyo fanya ya darasa la saba kuwarahisia wazazi kupata matokeo bila usumbufu
   
 11. LILENDI

  LILENDI JF-Expert Member

  #11
  Dec 27, 2013
  Joined: Oct 27, 2013
  Messages: 1,408
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  asante mkuu kwa kunijuza!
   
 12. H

  Howt Lady JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2013
  Joined: Jul 15, 2013
  Messages: 1,502
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Vuta subra mkuu
   
 13. T

  Tulimumu JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2013
  Joined: Mar 11, 2013
  Messages: 3,883
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 63
  Mitihani ya kidato cha pili haisimamiwi na NECTA. Inasimamiwa na ukaguzi wa shule kanda hivyo hayatoki kwa mfumo wa NECTA. Fuatilia kwa mkaguzi mkuu kwenye kanda alikofanyia mwanafunzi. NECTA wao wanapelekewa na wakaguzi wakuu wa kanda.
   
 14. s

  spleen JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2013
  Joined: Apr 24, 2013
  Messages: 629
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 28
  Ndio tupo tunamalizia kupanga data vizuri kwa ajili ya BRN
   
 15. j

  jaffari odhiambo JF-Expert Member

  #15
  Jan 1, 2014
  Joined: Jan 1, 2014
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Necta itoe kama ya darasa la saba ili kuondoa usumbufu.
   
 16. M

  Matarimu JF-Expert Member

  #16
  Jan 14, 2014
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  tumepeleka watoto shule na matokeo hayajatoka ...
   
 17. N

  Nsele Senior Member

  #17
  Jan 14, 2014
  Joined: Dec 7, 2013
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  subiri mwezi huu
   
 18. N

  Nono ze utamu Senior Member

  #18
  Jan 15, 2014
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mimi nayahitaji kwakweli baba wa jirani presha juu kwa mwanae:sad::sad::sad::sad:
   
 19. A

  ABDUL H.WAZIRI New Member

  #19
  Jan 17, 2014
  Joined: Jan 17, 2014
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hayo matokeo mbna yanachelewa ya kidato cha 2...?!
   
 20. Rose Moris K.

  Rose Moris K. Senior Member

  #20
  Jan 17, 2014
  Joined: Jan 15, 2014
  Messages: 51
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 8
  Tetec ni kwamba madogo wamefel sana so wameamua kuya upgrade chini kwa chini b4 wajarelease..chezea Big Result wewe
   
Loading...
Similar Threads - Matokeo necta kidato Forum Date
Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2015 Jukwaa la Elimu (Education Forum) Feb 18, 2016
NECTA yatangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2015 Jukwaa la Elimu (Education Forum) Jan 15, 2016
Necta yatangaza na kuweka kwenye mtandao matokeo ya kidato cha sita 2013 Jukwaa la Elimu (Education Forum) May 31, 2013
NIONAVYO: Matokeo Kidato cha nne 2012 kizungumkuti kuanzia wananchi hadi wizara+necta Jukwaa la Elimu (Education Forum) May 30, 2013
NECTA yatangaza upya Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 Jukwaa la Elimu (Education Forum) May 30, 2013

Share This Page