Matokeo ya Mtihani wa Taifa Drs la Saba 2013, Kumi bora.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Gates, Nov 26, 2013.

 1. G

  Gates Senior Member

  #1
  Nov 26, 2013
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tafadhali naomba kujulishwa shule kumi bora kitaifa kwa mujibu wa matokeo ya mtihani wa Taifa darasa la saba 2013.

  Ahsanteni.
   
 2. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2013
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 2,626
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 38
  Ya kwanza iko shinyanga ilikuwa na watahimiwa 50, ya pili Tusiime ilikuwa na watahiniwa 200 wanapanga kwa vigezo vipi wanajua wao waulize
   

Share This Page