Elections 2010 Matokeo ya Monduli CCM Kidedea

Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
huyu anatoka wapi? heeeeeeee unaota nini? mbona unaongelea kama monduli ndio Tz nzima? endelee tu kuota wenzako wanalia muulize Mramba,
 
Kuna habri nimezipata sasa hivi kuwa watu wa monduli
CCM wanaongoza kwa baadhi ya kata wakifuatiwa na chadema

Kweli mwaka huu naamini CCM watashinda kwa 80%+

Nitaendelea kuwajuza
walau kidoogo ungesema majimbo mkuu....kata!!!???
 
Kwa mwelekeo huu, Bungeni kutajaa Wabunge wa CHADEMA fullu stopu!! Hihihihiii!!
 
Inaonyesha huyu anayejiita JEYKEYWAUKWELI is a MANIAC kwa nini mnaruhusu watu km hawa kuchafua JF. Ushabiki wa kipumbavu hatutaki humu tunataka takwimu za ukweli. Zipo safu za manyaki kama ww unayejiita eti jeykeywaukweli nakuona kama ZUMBUKUKU fulani hivi. kam jogoo anayejifunza kuwika! ACHA KUTUINGIZIA UPUUZI HUMU KUNA WATU WASOMI NA WENYE AKILI ZAO. hawataki kusikia ushabiki usio na manufaa.
 
Kuna wakati hawa majinuni lazima wawepo ili kuchechemiza ukali wa hoja zetu maana wasipokuwepo tutakowa wa kuwacharaza mboko
 
Ni kweli Fisadi Lowassa kashinda hata Ingunga Fisadi Rostam ameshinda ni habari mbaya hakuna namna!
Kwenye vita kuna kushinda makabiliano yenyewe (main battle) halafu unapitia kuondoa masalia ysa adui (mopping up). Hao akina EL na RA watamalizwa katika mop up.
 
ndugu zangu embu rudini kihistoria, ktk idara zote Lowassa alizokuwepo, zimekuwa zikienedelea, remember hata wakati akiwa wizara ya ardhi nyumba na maendeleo mijini. watu walipata nafasi ya kununua nyumba za NHC na kuziendeleza. je hayo si maendeleo? msiangalie tu upande mmoja. bt what benefits us at the end of the day. anaweza kuwa anakula kidogo japo sina uhakika lakini at the end of the day kama tunaona matunda why not? zaidi ya wale wengine blablabla kazi kuchunguza ya wengine ili kujinadi wao wenyewe wkt strategy mbovu. hawana lololote zaidi ya kutuacha wote including wao wenyewe kwenye umaskini. hata hivyo wanasiasa karibu wote wapo hivyo2.
Ile skendo ya lowassa mpaka leo haijakaa vizuri, inaonekana kulikuwa na mizengwe kibao. wivu na mambo kede kede. kwanza ile njaa ilipotokea Lowassa alikuwa all over tanzania kuhakikisha vyakula vya msaada vinawafikia walengwa. hiyo tayari kunaonesha upendo alionao kwa watu wake. jengo lile lipoangua kabla halijaisha alitake action very fast. hiyo ilianza kuleta chuki na uhasama kwa wale wavivu na wasio chapa kazi na ndo maana wakatafuta vijisababu vya kumshambulia. Tunge mpa muda tunge ona matokeo yake. tangu aondoke madarakani yuku wapi huyo aliendeleza ule mradi? mbona hakupewa nafasi ya kutoa maelezo juu ya hilo zaidi ya kushambuliwa? iangalie monduli. ni kijiji lakini kilichoendelea, ni vijiji vingapi utavifananisha na monduli. lami, elimu kwa wote na hata hali ya lowassa kusikiliza matatizo ya watu wake ana kwa ana kila mwaka mpya inatosha kumprove kwamba, hakuna kiongozi kama yeye, despite mapungufu atakayo kuwa nayo ambapo kila mwanadamu anayo hat mimi. tusijidanganye.... lowassa still biyeee. mi ningeambiwa nichague rais 4 2015 ningemchagua yeye, and u would have seen, so fast dramatic change......
 
Kuna habri nimezipata sasa hivi kuwa watu wa monduli
CCM wanaongoza kwa baadhi ya kata wakifuatiwa na chadema

Kweli mwaka huu naamini CCM watashinda kwa 80%+

Nitaendelea kuwajuza

Nilikuwa sija iona hii japo ya zamani, inaonekana ni jinsi gani ulivyo type ya Shehe ya Haya! Pamoja na kuchakachua lakini ilishindikana kufikisha hiyo!

Hapa post na thread zako zina utata kama hii thread yako!
 
Back
Top Bottom