Matokeo ya Miss chitchat septemba NUSU FAINAL Haya hapa

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
wasalamu
Baada ya vuta nkuvute za uchaguzi wa miss chitchat katika ngazi ya Nusu fainaly yafutao ni matokeo:-

GROUP A
1. Cute Kura = 4
2. Madame B kura = 23
3. nivea kura = 2
4. Preta kura = 6
5. @Yumny kura = 2

GROUP B
1. charminglady kura 16
2. Arabela kura 4
3. Catherine kura 3
4. sweetlady kura 3
5. king'ast kura 1

Nachukua Nafasi hii kuwatanganza washiriki watakao ingia FAINAL ni Madame B na charminglady watakao pigiwa kuira katika thread maalum ili kumpata Miss
Nawasilisha
 
Last edited by a moderator:
Very funny anyway kupumzika kupo kwa aina nyingi mi nawaza 2 watu wengne humu ni wabibi ati,ha ha ha au babu anapata miss chitchat what a world,
 
Duh, yaani King'asti amelamba kura moja tu?
Ngoja nicheke kwanza Arifu, halafu nitarudi....
 
teh teh, haya asante mr. lundenga. pia napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru wale wote walionipigia kura. nawaomba tukumbukane kwenye fainali. . .
 
wasalamu
Baada ya vuta nkuvute za uchaguzi wa miss chitchat katika ngazi ya Nusu fainaly yafutao ni matokeo:-

GROUP A
1. Cute Kura = 4
2. Madame B kura = 23
3. nivea kura = 2
4. Preta kura = 6
5. @Yumny kura = 2

GROUP B
1. charminglady kura 16
2. Arabela kura 4
3. Catherine kura 3
4. sweetlady kura 3
5. king'ast kura 1

Nachukua Nafasi hii kuwatanganza washiriki watakao ingia FAINAL ni Madame B na charminglady watakao pigiwa kuira katika thread maalum ili kumpata Miss
Nawasilisha
..kwenye red hapo..
 
Back
Top Bottom