Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya Lema kwenda jela yaanza kuonekana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ngurati, Nov 4, 2011.

 1. n

  ngurati JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Siku chahche baada ya mh. Godbless Lema kukataa dhamana na *kuamua kwenda jela kupinga vikali uonevu unaofamywa na baadhi ya maofisa wa jeshi la polisi wanaotumiwa kisisasa, kupinga dola kutumia kila aina ya hila kuzuia harakati za CHADEMA, na kukumbusha long lasting issues ambazo CHADEMA wamezilalamikia kwa siku nyingi hatimaye serikali imeshtuka.

  1. Kwanza wamemfungulia jalada OCD wa Arusha, however tunatambua kesi ya ngedere ni vigumu kuamuliwa na nyani,
  2. Waziri wa TAMISEMI Bw. Mkuchika ameiandikia barua tume ya uchaguzi kuwataarifu ya kuwa madiwani watatno wa arusha si madiwani tena

  Kwa sabu wamefukuzwa uanachama na chama chao hivyo uitishwe uchaguzi,*katibu mkuu wa CDM Dr. Slaa pia amepewa nakala yake barua hii.
  Ikumbukwe kuwa ni mkuchika huyuhuyu alimwandikia barua mkurugenzi wa jiji la arusha akimtaka kuendelea kuwatambua madiwani hawa na kumtaka awalipe stahiki zao mara baada ya kufukuzwa uanachama na CHADEMA.

  Haya ni baadhi ya mafanikio ya non-violent demonstration aliyoifanya Lema.*
   
 2. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 666
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Na bado
   
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,878
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 160
  Huo ni mwanzo tu!! Mh. mbuge akitoka huko lupango, tutegemee makubwa zaidi.
   
 4. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,648
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Wanakubali kiaina
   
 5. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  huo ni moshi tu moto bado
   
 6. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Moyoni Wanaikubali.
   
 7. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,468
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Mapambano yanaendelea
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Bado mkuu mpaka tung'oe mizizi yote
   
 9. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Tutafika Tu
   
 10. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,471
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nasubiri uchaguzi wa madiwani Arusha kwa hamu kubwa.
   
 11. T

  Tata JF-Expert Member

  #11
  Nov 4, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,221
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Akitoka ajiandae tu kurudi kwani hawa jamaa wanaotumia masaburi kupata taarifa za kiintelijensia watamkamata tu. Ila kwa kuwa inaonekana huu utaratibu wa kufungwa unapata mafanikio zaidi ya ule wa kupambana siku nyingine akikamatwa agome kupewa dhamana na aweke mgomo wa kula mpaka kieleweke.
   
 12. mpiganiahaki

  mpiganiahaki Senior Member

  #12
  Nov 4, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  aluta continue
   
 13. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #13
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,696
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  na bado mpaka kitaelewaka. Ila mkuu naomba nieleweshe vizuri, huyo Zuberi kafunguliwa jalada na nani?
   
 14. r

  rutakolwakolwa Member

  #14
  Nov 4, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa nini wewe usivuruge nna ukatae dhamana na ukifungwa ugome kula????,Hahahahhahha,Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu .....
   
 15. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #15
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 41,844
  Likes Received: 3,626
  Trophy Points: 280
  Hapa ndipo Magwanda wanaponifurahisha kwa kujiliwaza na kujifariji
   
 16. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #16
  Nov 4, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,270
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sarakasi zile zile
   
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 37,305
  Likes Received: 2,607
  Trophy Points: 280
  Wanajiliwaza na nini bosi?
   
 18. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #18
  Nov 4, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 27,016
  Likes Received: 1,587
  Trophy Points: 280
  ina maana lema bado yuko magereza,
  je nini kinaendelea hapo arusha.
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  Nov 4, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 41,844
  Likes Received: 3,626
  Trophy Points: 280
  Si haya matokeo ya Lema kwenda mahaubusu mnasema yameanza kuonekana
   
 20. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #20
  Nov 4, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,919
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Adhanie amesimama na aangalie asianguke maana enzi za uimara wa kale na wa sasa ni tofauti kabisa ... Wanamagamba wanaona kuwa wapo imara kama Jeshi la Gadafi..kalini punde nguvu ya umma inakuwa juu kuliko matumaini yao..Peoples Power and power and power...
   
Loading...