Matokeo ya kura za maoni ya mauaji ya albino mpaka lini?

Kyachakiche

JF-Expert Member
Feb 16, 2009
983
207
Ndugu wadau, samahanini kama nitakuwa nawarejesha kwenye mada ambayo huenda ilishawahi kujadiliwa hapo nyuma bila ya mimi kuiona. Ningependa tu kufahamu, ile kura ya maoni iliyoitishwa kuhusiana na mauaji ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi(ALBINO), je matokeo yake yalishatoka? Au yalikuwa yatolewe kwa mfumo gani? Nawaombeni mnijuze tafadhali.
 
kura za maoni ya mauaji ya albino ilikaa kisiasa zaidi, sijui yameishia wapi hayo matokeo.
 
Mimi kama mtanzania, nafikiri serikali yetu na sisi wenyewe kama watanzania we are failing these minority group.

Je, tukishapiga kura ya maoni and then what next?

Tangu mauaji haya yalipoanza kutokee nimekuwa nikifatila kwa undani what media national and international inasema nini.

My suggestion ni kwamba, sisi kama watanzania ni lazima tukae na tupendekeze tutasaidia vipi tatizo hili.

Tanzania has a large number of Albinos compare to the rest of the world. Je tunajua wako wapi (idadi) na wana umri gani, gender/ etc.

To be honest, we need to do something ASAP!
 
Ulikuwa ni usanii tu wa "serikali" kuonyesha wanapambana na tatizo la mauaji ya mazeruzeru lakini ukweli ni kwamba kama ilivyokuwa katima maswala mengine yote yanayopigiwa kelele na Watanzania hapa pia hakuna jipya ni usanii tu wa Serikali.
 
Usanii toka mwanzo.

Tangu lini "CRIME" inapigiwa kura ya maoni?

Kama ni hivyo (not to degrade this particular issue), kwa nini tusipige kura ya maoni kwa "MAFISADI"?

Hii ilionyesha kuwa vyombo vya dola vimeshindwa kazi na kurudisha dola mikononi kwa wananchi.

Na kwa taarifa yako, sitoshangaa hela ambayo ilitengwa kwa hiyo kura ya maoni (nafikiri walisema TShs200 million) imeshayeyuka bila hitimisho la uhakika.
 
Ni kweli ni usanii mkubwa uliofanywa na Kikwete na mpambe wake Pinda, hakuna chochote walichokuwa wanakifanya zaidi ya kutaka kutumia nafasi hiyo ya kura za maoni kuchota pesa zaidi za walipa kodi. Kikwete na mwenzake Pinda sidhani kama wanahuzunishwa kuhusiana na vifo vya hawa ndugu zetu, wangekuwa na huzuni na majonzi na kuonyesha kuchukizwa na hili jambo basi hivi sasa wangeshalifanyia kazi. Mbona wametumia resources kibao kumtafuta mwenye tovuti ya Ze Utamu leo hii wanashindwa kuwakamata wauaji wa maalbino. Kikwete na mwenzako Pinda na wengine wote Mungu atawahukumu kwa kukubali unyama huu uendelee kwa ndugu zetu albino.
 
Mkuu hata huyo wa Zeutamu aliyekamatwa hana kesi, kwani umesikia lolote mpaka sasa?
 
Wakuu hata kama nawarudisha nyuma miaka ya 47 nawaombeni mnisamehe. Matokeo ya kura za maoni kuhusiana na mauaji ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi yameshawekwa hadharani? Na vipi kuhusiana na kesi ya aliyedaiwa kuwa ndiye mmliliki wa mtandao wa Zeutamu???
 
Back
Top Bottom