Elections 2010 MATOKEO ya kura za awali CCM August 1, 2010

Mzee Malecela hawezi kushindwa uchaguzi Mtera kwa kura ya maoni....CC na NEC watarudisha jina lake na huyo aliyeshinda kweli jimboni atapozwa na cheo fulani serikalini.

Malecela will go when he is ready!!

Watch this space.

Kwa hiyo Chama Cha Majambazi hakina Democracy? Hata ukishinda utashindwa tu ulegee.
 
Lakini Tinga tinga si alisema wananchi wa Mtera bado wanamuhitaji?

Mkuu kumbuka wananchi wa mtera si wote wana-CCM, huenda wananchi alimaanisha wasio na vyama. Hapa ndiyo naona kwa nini mgombea binafsi alifanyiwa fitina; maana nina hakika kamati kuu ilikuwa inanyang'anywa nguvu zake pale. Hawa wote walioshindwa wangehamia "ugombea huru"
 
Ninaamini safari hii ukirudi bungeni, utakuwa mkali zaidi kwani utafahamu kuwa Mwakalinga yupo pembeni.

Ila ombea Mungu asihamie CHADEMA maana mpambano utakuwa mkali zaidi na Dr. Slaa akiwa na Mwakalinga.

Hatimaye sasa itakuwa rahisi kumwambia Mwakalinga ahamie CHADEMA.

Yote tisa, kumi ni DR. SLAA FOR PRESIDENT 2010.

Mkuu achana na haya mambo ya Mwakalinga.

Mwakyembe hakuwa na upinzani wowote zaidi ya kelele tu za kwenye JF, na ata akihamia Chadema na Dr Slaa ahamie Kyela kwa muda wote wa kampeni bado matokeo hayatakuwa tofauti sana na haya, Mwakyembe anakubalika sana Kyela kuliko unavyodhania.

Mwakalinga ni mtu safi lakini huu haukuwa wakati muafaka kwake kugombea Kyela.
 
Sasa kama Tinga tinga lishabwagwa Mtera...nani atamrejesha spika Sitta katika kiti chake...?
 
Nilitaka nipige kelele zote hapa lakini ..............ngoja niwe mpole.

Ingekuwa vingine, naamini kuwa kambi ya Mwakalinga wangefanya kila wawezacho kutukana na kunyanyasa walioshindwa.

Ushauri tu kwa Mwakalinga, next time, tafuta kampeni meneja, afisa mawasiliano na viongozi wazuri wa kufanya kampeni. Cha zaidi sana, mambo ya kutumia surrogate wako kutukana watu ambao hamuwafahamu (kwa vile tu wamepost hapa JF) sio mazuri na mwisho wake sio mzuri. Mlijikusanyia maadui wengi kuliko inavyotakiwa.

Ni hivyo tu
 
Mkuu achana na haya mambo ya Mwakalinga.

Mwakyembe hakuwa na upinzani wowote zaidi ya kelele tu za kwenye JF, na ata akihamia Chadema na Dr Slaa ahamie Kyela kwa muda wote wa kampeni bado matokeo hayatakuwa tofauti sana na haya, Mwakyembe anakubalika sana Kyela kuliko unavyodhania.

Mwakalinga ni mtu safi lakini huu haukuwa wakati muafaka kwake kugombea Kyela.

sikonge sidhan amekusoma vizuri kwa hili naamini ataelewa zaidi nini maana ya siasa
 
Mkuu,
heshima kwa mbele sana. Maneno yasiyo na USHABIKI kabisaaaa.
Umesomeka na labda niende zaidi, kama wewe si Mwalimu, basi ufahamu kuwa UNA KIPAJI.
Tuendelee na mengine sasa. Ngoja nianze kufuatilia matokeo ya Sikonge maana usipojali kwako, utajali kwa wenzio.

Ntarudi nikiwa na matokeo ya Sikonge. Vinginevyo, tukutane kwenye kambi ya Dr. Slaa (CCM Samahani kwa hili).
Mkuu achana na haya mambo ya Mwakalinga.

Mwakyembe hakuwa na upinzani wowote zaidi ya kelele tu za kwenye JF, na ata akihamia Chadema na Dr Slaa ahamie Kyela kwa muda wote wa kampeni bado matokeo hayatakuwa tofauti sana na haya, Mwakyembe anakubalika sana Kyela kuliko unavyodhania.

Mwakalinga ni mtu safi lakini huu haukuwa wakati muafaka kwake kugombea Kyela.
 
Nilikujibu ila thread ikawa imafungwa kwa muda au sijui wamefuta ujumbe wangu? Nashukuru kuwa haupo maana ningelijilaumu sana. Sasa mnafikiri kwa sababu Mwakalinga kashindwa ndiyo hatuwezi kurusha matusi? Anayetaka NIMTUKANE, aniandikie PM tu na mie hili HD langu lililoshehena maneno ya Wabeba Zege, nitamgawia dozi kidogo tu.

Hapa ni KIJIWE tu cha watu kuja kupeana MIPASHO. Mmeshinda, hongereni. Ila tafadhali, uwe na kumbukumbu nzuri. Hayo maneno uliyoandika, mie sijasema hata siku moja kuwa Mwakalinga anaongoza. Kyela kwenyewe sipo, sasa nitaandikaje? Na huwa sifichi kuwa hata Kyela kwenyewe sijafika.

Mwakalinga angelishinda bana, ila sema tu Kanda2 alimuahidi LAPUTOPU, na yeye akawaahidi Wanakyela. Sasa mwisho muda umefika, Kanda2 kapotea na Wanakyela wanadai LAPUTOPU, Mwakalinga hana. Kanda2 ndiyo kamponza Mwakalinga. Mtu Mzuri sana wa Mwakyembe huyu.
[
LIFE GOES ON. Asiyekubali kushindwa si MSHINDANI. Ila siamini kuwa Mwakalinga amekuwa wa TATU. [/SIZE]

Ok! si uliwahi kusema MwakaL anaongoza mbali saana, ukasema Mwaky ni fisadi.! Pole mkuu. Vox populi..[/QUOTE]
 
Wandugu nashindwa kuelewa inakuwaje tunaweza kupata matokeo ya Kyela, Mtera etc lakini ya hapo Dar, Kawe, Kinondoni, Ilala etc inakuwa vigumu kama kutafuta soko la pork Mecca?
 
Wandugu nashindwa kuelewa inakuwaje tunaweza kupata matokeo ya Kyela, Mtera etc lakini ya hapo Dar, Kawe, Kinondoni, Ilala etc inakuwa vigumu kama kutafuta soko la pork Mecca?

Dar hapana mvuto. Come what may. issues ni Kyela, tingatinga, seleli, kilango, etc. You know what I mean?
 
Nasubiri matokeo kutoka Rungwe ya Prof. Mwandosya, maana nilimuonya rafiki yangu Steve Mwaka atulize boli kwanza asubiri 2015 kwa kuwa nina uhakika Prof hawezi kugombea mwaka huo iwapo atakosa chepuo la urais.
 
Back
Top Bottom