Matokeo ya Kidato cha Sita (Form VI) na Result Slip Unapata hapa

Mpendanchi-2

JF-Expert Member
Apr 4, 2009
304
37
Unaweza kupata Result Slip yako hapa ya Form VI, 2009

Just ingiza number yako kama ilivyoelekezwa hapo utapata Slip yako Printable to Hard copy or to pdf na inakubaliwa kwenye applications za vyuo vingi tu kwa sasa. Ukiwa na cloured printer huna haja ya kuhangaika kwenda tena posta!!!!

National Examinations Council of Tanzania
 
Last edited:
ministry of education is very stable,and make all of us to get a real education;although there are few mistake in national examination like linking of examination.they have to correct.also have to make sure to find up background of their international student like us.thanks
 
Unaweza kupata Result Slip yako hapa ya Form VI, 2009

Just ingiza number yako kama ilivyoelekezwa hapo utapata Slip yako Printable to Hard copy or to pdf na inakubaliwa kwenye applications za vyuo vingi tu kwa sasa. Ukiwa na cloured printer huna haja ya kuhangaika kwenda tena posta!!!!

National Examinations Council of Tanzania

Mkuu tunangojea ya mwaka huu maana mimi nina mwanangu kamaliza darasa ka 12 nasubiri kwa hamu matokeo yake ingawa nipo Ughaibuni najuwa utatowa wewe result zake asante mkuu
 
Hivi matokeo ya kidato cha nne yatatolewa lini? Naona matangazo ya kukaribisha form five yamepamba moto kwenye vyombo vya habari, au hayawahusu waliomaliza mwaka 2009? Inanitia hofu maana sio vyepesi kununua form ya kuombe form V wakati matokeo hayapo na hujui ni combination gani imekubali uzuri zaidi kwa mtoto.

Leka
 
Hii kitu haiwezi kuleta result slip ya mwaka mwingine zaidi ya 2009????

Back
Top Bottom