Matokeo ya kidato cha sita ya mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka

Kama hizi habari ni za kweli.
=================
Wabunge kama hawa hawatufai. Kama ameshindwa hata kukariri kama kuelewa ni vigumu ili walau apate hata four!!.

Kuna haja ya serikali kuwalazimisha wabunge warudi shule. Ni ujinga kuwa na mbunge aliyepata zero form six.

Hawa ndio wanaosaini mikataba kijingajinga.
Hivi Livinstone Lusinde yeye ni Ni Kivipi?
 
View attachment 301294 Baada ya Ole Sendeka kumtaka Lissu kurudi darasani eti shule yake bado sana.

Katika pitapita zangu sehemu fulan nikaona mdau mmoja akisema kua mbona yeye alipata div 0 pale Old Moshi Sec?.

Mwenye data zake atujuze wakuu.

==================

Update;

===================
img-20160412-wa0258-jpg.337255
mkubwa alitaga? duh lakini shule nayo ilikuwa majanga. zero
kibao.
 
View attachment 301294 Baada ya Ole Sendeka kumtaka Lissu kurudi darasani eti shule yake bado sana.

Katika pitapita zangu sehemu fulan nikaona mdau mmoja akisema kua mbona yeye alipata div 0 pale Old Moshi Sec?.

Mwenye data zake atujuze wakuu.

==================

Update;

===================
img-20160412-wa0258-jpg.337255
Kabla ya Kucommenty hebu observe general performance ndio uje kucomment!
 
Nilimsikiliza mh. Sendeka akilalama . Nafikiri matokeo yake ya shule yaliyowekwa jamvini yana reflect kile alichonacho, hakika tunasafari ndefu, hii safishasafisha ya uwezo wa kitaaluma isiishie shule na vyuoni iingiwe hata kwa viongozi wa vyama.
 
unajitahid kutetea illa sio rahisi watu kubadilika na kukuamin
Siku moja mle mjenoni(Parliament) wakati wa mijajala Prof Muhongo alitaka kujua CV ya Ole Sendeka bahati mzuri malaika mzuri alipitia mjengoni yakaishia hewani!!!! Lakini Ole knows jinsi ya kujenga hoja nzuri na zenye mshiko, ni Mmasai mwenye hekima kwani even waziri mkuu wa zamani wa Uingereza John Major alikuwa 'A' level failure na banker lakini alikuwa na hekima)wisdom na kiongozi mzuri.
 
Ukifunika hilo jina ukiweka ,KISWA F, ENG F, HISTORY F, utawezaje kutofautisha na ya MBOWE
 
Mbona mnamshambulia msemaji mpya wa chama?
Hamuoni kama ana S ya siasa?

Acheni kucheza na hiyo PCB ,yaani serikali ikiajiri wataalamu wa sayansi jamaa nae yumo maana kasoma sayansi
 
Hapa mbona wako wengi sana,kuna kubenea huyu ni standard seven kabisa,mbunge wa mbeya mjini mr 2 a.k.a.sugu,mbunge wa kinondoni Iddi azan n.k.
Tatizo sio kufeli mitihani ila tatizo kufeli halafu ukawa unataka sifa kuonesha umma kwamba nawewe ulifahuru ,shida ndio inaanzia hapo, hao ulio wataja wala hawaja onesha dalili za kutaka sifa kiwa hawakufeli.
 
Hata somo la SIASA kapata F halafu yeye ndiye MSEMAJI MKUU WA CCM!:D:D:D
 
alifeli kidato cha nne lakini anaonekana ana masters halafu msemaji mkuu wa chama kupata zero inaashiria hali mbaya ya vyeti kwa watawala wahakikiwe.
156d6e9efbe1fcd6f800a08a4c64264d.jpg
 
Back
Top Bottom