Matokeo ya kidato cha sita ya mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka

mmmmmmmmmmmmmm.......zroooo,,, kwiiiii kwiiiii kwiiiiii aKUBWA ZIMAAAAAAAA, KICHWANI HAMNAZO!!!!!!!


KATIBA MPWA, MBUNG NI LAZIMA AWE NA DIGRIII
 
Baada ya Ole Sendeka kumtaka Lissu kurudi darasani eti shule yake bado sana,
ktk pitapita zangu sehemu fulan nikaona mdau mmoja akisema kua mbona yeye alipata div 0 pale Old Moshi Sec?.
Mwenye data zake atujuze wakuu
halafu si ndio hyu alitaka kupigana na mkuu wa mkoa
 
Mi sidhani ka kuna Tatizo kutokuwa na elimu ya kiivyo..Issue iwe hajui kujenga hoja au anatetea hata visivyostahili kutetewa..Mbona tuna maprofesa na wasomi ndo wanaotupeleka pabaya ka Wassira, Chenge, Lowasa, ( I think wote wana hold Masters), Walikuwa Wakina Prof Kapuya, Prof Magembe jinsi walivyoharibu mfumo wa elimu na Sasa Dr Kawambwa,...Naungana na jamaa mmoja hapo juu kwamba "VILAZA NA WENYE MATATIZO NI WALE WALIOWACHAGUA" Ni Hayo Tu..
 
Duh!,kumtambia kote tundu lisu kumbe yeye form six, c ziligeukiana.kupitia ole sendeka nimejifunza kitu kimoja cha msingi ukiwa ccm huwezi kuwa na msimamo endelevu kama wa chadema.

C ziligeukiana? Mama yangu mbona jukwaa hili tamu hivi()
 
Ha alafu ndo anaonekana kichwa ccm lo ccm mnalo kufoji vyeti nyie kufeli nyie ufisadi nyie yaani mabaya yote nyie
 
Mi nadhani hekima ni zaidi ya kupasua madarasa, katika suala hili linaloendelea la katiba ni suala tu la common sense ambazo kiukweli si common. Hii mipasho ya hawa CCM haihitaji mtu awe na elimu, by the way what about Pr. Kabudi?
 
kuna Mbunge wa CUF alisema kama wasomi wanashindwa kuchambua jambo dogo kama hili la katiba, basi ni bora sisi tusiosoma sana. Hata Nyerere hakuwa Profesa ili kuiongoza hii nchi hivyo ni vizuri kumjudge m2 kwa kutumia maneno yake aliyosema sio elimu yake.
 
Back
Top Bottom