Matokeo ya kidato cha 6 2014 kama yameendana na uwezo wa wanafunzi ni vizueri,lakini kama ni kinyume chake inamaana matatizo kama nyumba za walimu,mshahara mdogo,maabara,mafunzo kazini,vitabu vinavyoendana na mitalaa mipya,ukosefu wa kompyuta,projekta na intanet hayatashughulikiwa kwa haraka maan licha ya kuwepo matatizo hayo bado wanafunzi wanafaulu.
Pia napinga kuyapa masomo ya G.S na B.A.M grade sawa na masomo mengine yaan inamaana mwanafunzi mwenye GS na BAM akipata A katika masomo hayo mawili aende chuo kweli?tutakosa wataalam kwenye masomo husika kwenye comination.