Matokeo ya kidato cha nne kutangazwa 6 february 2012

Jan 26, 2012
3
0
Inasemekana kuwa matokeo ya kidato cha nne hutoka kabla ya mitihan ya form 6 na mitihani inaweza anza tarehe 8 so tar 6 au 7 it will be out!
 
Hyo kweli watoe watu wajue wanaanzia wapi coz wazazi na watoto saihv hofu zimewajaa.
 
Wala msiwe na shaka serikali itafanya any means msifeli si unajua mambo ya kustandadize?
 
Tutayatangaza mda sio mrefu..vuteni subira kidogo.

matumbo wewe ninani huko necta?na kwakuwa ww inaonekana upo necta tatz lililo chelewesha ni nini? ukilinganisha na last year ambapo yalitoka jan.27? Hebu tufumbuwe kwan ww ni mhm sana ktk jf.
 
Heading yako ina-suggest kuwa unajua tarehe yatakapotangazwa, kumbe ....
 
Yani hamna umuhimu wakutoa tetesi zozote hapa Jf maana kila m2 wa hapa ni anatoa kichwani kwake kwa ku gesi 2! Na bwana matumbo czani kama ni mtu wa kumuamini kilichopo nikusubiria 2! Na watu humu mctoe k2 bila uchunguzi zaidi! Tokeo lita toka 2 hyo ni lazma so 2subirieni 2!
 
Inasemekana kuwa matokeo ya kidato cha nne hutoka kabla ya mitihan ya form 6 na mitihani inaweza anza tarehe 8 so tar 6 au 7 it will be out!

Mi mwenyewe nafikiri yatatangazwa leo au kesho! Kwani maulidi ni lini?? Kwasababu kama ni kesho,sijui kama wanaweza kutangaza siku ya publc holiday!
 
Back
Top Bottom