Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,108
- 18,325
kwani feza boyz ni ya nani?
moja tuu, ujue mnalala mika tuu bila sababu za msingi. Kaeni chini , tafakarini huu ukweli, badala ya kuwa achia wazee wale wawatwisha mizigo isiyo na msingi, wambieni watoe dira zao katika masuala nyeti kama haya.