MATOKEO ya Kidato cha Nne a mjadala wa kuboresha Kufaulu

National examinations council of tanzania

csee 2010 examination results


s1806 yusuf makamba secondary school


div-i = 2 div-ii = 4 div-iii = 19 div-iv = 113 fld = 314
 
hili suala la kutumia majina ya viongozi kama Nyerere kwenye shule vilaza inabidi liangaliwe, maana aibu tupu...
 
Dah! Inasikitisha na inatisha hawa watoto walikuwa wanasoma kwel au walikuwa wanaangalia back bell na kutongozana mana haibu gan hii dah! Sasa elimu ya tanzania inaelekea kubaya
 
ehh mola tunusuru taifa letu,uchumi mbovu,pesa hakuna,umeme shida,ghali na wa mgao,rais tuliye naye ni chizi,michezo tu vichwa vya wendawazimu,dowans atu do wani japo kidogo sasa hata elimu imetushindwa??
 
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani, Joyce Ndalichako, alisema shule kumi bora zilizokuwa na watahiniwa kuanzia 40 na zaidi,ni

1. Uru Seminari (Kilimanjaro),
2. Marian Wasichana (Pwani),
3. St Francis (Mbeya)
4. Canossa (Dar es Salaam).
5. Msolwa (Morogoro),
6. Feza Wavulana (Dar es Salaam),
7. St Mary Goreti (Kilimanjaro),
8. Abbey (Mtwara),
9. St Joseph's Iterambogo (Kigoma)
10.Barbro - Johnson (Dar es Salaam).

Wanafunzi kumi bora kitaifa

1. Lucylight Mallya,(Marian),
2. Maria –Dorin Shayo (Marian),
3. Sherryen Mutoka wa Barbro - Johansson,
4. Diana Matabwa (St Francis)
5. Neema Kafwimi (St Francis)
6. Beatrice Issara (Mary Goreti)
7. Johnston Dedani (Ilboru)
8. Samwel Emmanuel (Moshi Technical)
9. Bertha Sanga (Marian)
10.Bernadetha Kalluvya (St Francis).

Shule kumi za mwisho zilizokuwa na watahiniwa 40 na zaidi ni

1. Changaa, 2. Kolo, 3. Kikore, 4. Hurui, 5. Thawi, zote kutoka Dodoma
6. Pande Darajani (Tanga),
7. Igawa (Morogoro),
8. Makata (Lindi),
9. Mbuyuni na 10. Naputa kutoka Mtwara.


My take: Mtanisamehe mbona sioni shule za ndugu zetu na wanafunzi wao wakiongoza au ile nusu kwa nusu hai apply kwenye uwezo wa elimu hadi kwenye vyeo, naogopa wasije kuanza kulalamika kuwa aliyetangaza matokeo kapendelea.
 
Nina uhakika hizo shule kumi za mwisho nyingi zitakuwa za ndugu zangu wa nusu kwa nusu aka pasu kwa pasu kutokana na maeneo yake! Mniwie radhi ndg zangu siwatukani ila ndo ukweli wenyewe...mbaya zaidi nyingi ya shule hizo hapo juu zilizofanya vizuri ni za Wakatoliki!? :embarrassed:
 
Nina uhakika hizo shule kumi za mwisho zitakuwa za ndugu zangu wa nusu kwa nusu! Mniwie radhi ndg zangu siwatukani ila ndo ukweli wenyewe...mbaya zaidi nyingi ya shule hizo hapo juu zilizofanya vizuri ni za Wakatoliki!?:embarrassed:
I'm afraid to say the same hata maeneo zinakotoka hizo shule ni yale yale ya kofia na tshet.
 
I'm afraid to say the same hata maeneo zinakotoka hizo shule ni yale yale ya kofia na tshet.
at least FEZA Boys wametutoa tongotongo kidogo na kusafisha jina kwamba hata wale wenzangu wa pasu kwa pasu tunaweza!
 
6. Pande Darajani (Tanga),
7. Igawa (Morogoro),
8. Makata (Lindi),
9. Mbuyuni na 10. Naputa kutoka Mtwara


na huku ndio ccm ilishinda kwa kishindo
 
hizo kumi bora za mwanzo zingegawanywa pasu kwa pasu mazee kuna harufu ya kaupendelea na uonevu hapo
:coffee::coffee::coffee::coffee:
 
:clap2:Baraza la Mitihani Tanzania linachakachua na kuwapendelea Wakristo. Watungaji wa mitihani wote ni Wakristo. Wasahihishaji wa mitihani ni Wakristo.
Tubadili staff yote ya Barala la Mitihani Tanzania kuwa Waislamu tupu hapo uchakachuaji wa matokeo utakoma.
Yaani hata hawa Mtwara Abbey imeanza juzi tu inayoongozwa na wamisionari wabenedictini Wajerumani imetupiga kikumbu, lazima kuna uchakachuaji wa matokeo tu.
Sikubaliani na nusu kwa nusu ila tubaki siye hapo hakutakuwa na uchakachuaji.
:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
 
My take: Mtanisamehe mbona sioni shule za ndugu zetu na wanafunzi wao wakiongoza au ile nusu kwa nusu hai apply kwenye uwezo wa elimu hadi kwenye vyeo, naogopa wasije kuanza kulalamika kuwa aliyetangaza matokeo kapendelea.
Kwani Feza Boyz ni ya nani?
 
:clap2:Idadi ya shule zilizoongoza ni zile ambazo kila dhule imekuwa na watahiniwa zaidi ya 40, sasa wakiorodhesha shule zote ambazo nyingi ya seminary zina wanafunzi pungufu ya 40 hali itabadilika kabisa kwani hizo ndo kiboko zaidi kwani walioshindwa huishia na dalala la tatu. :clap2:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom