Matokeo ya kidato cha nne 2013.

Dr Ndalichako, uko wapi? Ulipokuwa kwenye usukani hakuna matokeo kuchelewa namna hii. Ebu majibu yatoke haraka watoto wanetu wasije wakapata uchizi kwa msongo wa mawazo ya kusuibiri matokeo kama dalili zilivyoanza kujionyesha kwenye postings hapa JF.
 
Matokeo yanachanganya watu kweli mama rafiki zangu wanne wanamawazo hatari yaan ata raha hawana tangu jmoc
 
Back
Top Bottom