Matokeo ya kidato cha nne 2011 ya natoka lini?

nadhani wengi wanabuni date kwa ktmia uzoefu.ingawa kama mdau mmja alivyosema inasemekana private cand.mwaka huu wako juu na shvle zt za kata hoi ! ni kwamjibu wa mmoja wa waalimu wakiliotoka kusaisha.hata hvy tar yakutangazwa ni tetes tu.tungoje baraza
 
aiseeeee! poleni kwa wale wote mnaosubiria matokeo, watnafunzi wengi nawaona roho juujuu.... ila kwanini hawaja yatoa matokeo hadi leo hii, hadi wengine wanashindwa kufurahia visherehe vizuri bwana! sio vizuri
 
Safari moja huanzisha nyingine,
nawatakia kila lakheri ndugu zangu wote mnaongoja matokeo,
mwenzenu nillishasoma hadi chuo kikuu lakini maisha yangu ni ya kawaida sana,
 
jamani hebu semen ukwel wa mungu hv matokeo ya form 4 yanatoka lini?
 
jamani hebu semen ukwel wa mungu hv matokeo ya form 4 yanatoka lini?

nguvu hii na bidii unazotumia kuulizia matokeo ungevitumia ktk kusoma,kufanya mazoezi,leo hii ungekuwa na amani moyoni.....sasa hivi roho juu kwasababu unategemea miujiza itokee. Uliokuwa ukiwaita wasongolists sasa hivi wapo kwenye tuition za pre-form five. Maneno haya aliambia mama wa kambo hadi leo nayakumbuka...
 
Hello am moul'd from burn town ebana ningependa kutoa hi kwa wanachama wote wa jamii nawaambia wasiwe na nchecheto matokeo yatatoka tu.
 
E bwana eh!datz true men,wale waliokuwa wanakesha katka kusoma 2likuwa 2nawacheka ona sasa wao sahv wanasoma pre-form v.dah!mackn we,kwel ng'ombe wa masikini hazai.
 
punguza jazba,ukweli ndio huo..
Ile zero uliyopata mock inajirudia necta.haina ubishi.

ha ha ha ha ha ha! Mimi sio mwenzio kunguru kwan o-level nshamalza snce 2008 na nicapasua ile mbayaaaa" au na wewe ulivuna mabua cwenye necta yaco ya 4m4? Au hata hiyo 4m4 hukumalza cabsa, ok wasalimie hapo VETA unaposomea ufundi cherehani.
 
Back
Top Bottom