Matokeo ya kidato cha nne 1996

NR'S

Senior Member
Feb 14, 2012
106
12
Wanajamvi nimeshidwa kabisa kupata matokeo ya kidato cha nne mwaka 1996. So naomba msaada kwa anayejua nitayapataje?
 
Matokeo unayotafuta ni ya kwako? Nenda manually necta ukiwa na namba ya mtihani manke hawakubali jina. Kama ni mchumba una-back check cv kubali kuvishwa kanyaboya.
 
hivi hawa necta si wangetusaidia kutuwekea matokeo ya miaka ya nyuma online na akina sisi tuwe kielektroniki?????
 
Back
Top Bottom