Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Jan 10, 2009 5,471 734 Nov 1, 2010 #1 TBC wanatangaza kuwa NEC wanarusha rusha nadhani wanachakachua maana kuna close contest kati ya CCM na CHADEMA
TBC wanatangaza kuwa NEC wanarusha rusha nadhani wanachakachua maana kuna close contest kati ya CCM na CHADEMA
DICTATOR JF-Expert Member Sep 17, 2010 391 3 Nov 1, 2010 #2 Waache kujifanya wao ni machaguo ya mungu, its time for change!! Can't wait to see more MPs from Chadema.
Waache kujifanya wao ni machaguo ya mungu, its time for change!! Can't wait to see more MPs from Chadema.