Elections 2010 Matokeo ya kasi mpya

Mantissa

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
876
166
Jamani, baada ya kasi mpya, nguvu mpya kushindwa, sasa waja eti na kasi zaidi, 'maisha bora' yaliposhindikana, wakaona walete 'kilimo kwanza'. sentesi hizi sizielewi kabisa, bora waseme ufisadi zaidi.

Mwaka huu hatudanganyiki
 
Jamani, hivi TBC ni chombo cha CCM au Taifa, make kinatoa matangazo ya CCM tu ktk uchaguzi huu, vipi jamani , hebu mnijuze
 
Kwa nini unauliza jibu?
TBC kinatumika kama kifaa cha propaganda cha sisi m na wapiga kura wengi wanalalamikia hili.
Hata hivyo bado sisi m itashindwa kwa kishindo mwaka huu na TBC itakuwachombo huru cha habari kwa mara ya kwanza katika historia yake.
 
Kibaya zaidi kinaendeshwa na kodi zetu lakini hawajui kwa kufanya hivyo wanazidi kuijenga chadema
 
Jamani, hivi TBC ni chombo cha CCM au Taifa, make kinatoa matangazo ya CCM tu ktk uchaguzi huu, vipi jamani , hebu mnijuze

Mantissa karibu jf ,sisi wenzio tushawazoea, hao TBC cause tumelalamika mpaka tumechoka
 
Chadema tukiingia,Tido & company itabidi watafute kazi sehemu nyingine coz hatutaki watu ambao hawafuati uweledi kabisa...
 
Back
Top Bottom