Matokeo ya Igunga toka kwa NAPE: CCM Yaibuka Kidedea...

Status
Not open for further replies.
Kwanza nape uko wapi na taarifa hzo ni kwa mjibu wa nan, vile nape c chanzo cha kuaminika.
 
Nape,

Rudi shuleni ukijifunze hesabu upya "ur numbers do not add up" ina dhihirisha ume pika hizi number, hata kujumrisha tu umeshindwa sasa utawezaje kuzichambua hizo number, simple cross check ur "CCM" votes na uone kama zaleta 26,266?
 
Wadau, asubuhii hii saa 12, Nape amehojiwa na Tbc taifa kuhusu hatua yake ya kutangaza matokeo mtandaoni wakati msimamizi wa uchaguzi hazatangaza. Amekana kuweka matokeo mtandaoni, na ameikana JF kua yeye hawezi kuandika humu maana hana ID, kwahiyo matokeo yaliyotangazwa JF yeye hayajui! sasa najiuliza iweje akane yale matokeo na wakati hata kwenye wall yake aliweka? na ile ID ya Mnauye jr sio yake wadau mbona anakana si member?

NOTE:

Nape ni mtu wa Propaganda, si ajabu. Angalia moja ya status zake chini hapa. Atadai hata JF haijui

status_nape.jpg
 
HUYU KIGAMBA NAPE AMEKUA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI?Ona sasa hata TANZAGIZA amecop na kupest,sasa yakija matokeo tofauti utaliweka wapi sura lako wewe KIGAMBA CHA MNAUYE!
 
kwa nguvu ccm iliyotumia na kwa wizi wa kura wa ccm ni moja kwa moja kuwa chadema imeshinda, lakini ccm ni lazima inamfia babarizimoja kama ilivyotabiriwa na wahanga mapema.
Mamndenyi..kubali tu kishindwa!
Mmejitahidi sana lakini kura hazikutosha.
CCM itakuwepo na itazidi tu kusonga mbele.
 
Mtaisoma namba wadau.Ukweli CCM ndio imeshinda na hilo hata mtoto mdogo analifahamu.Mimi ninahamu kubwa na visingizio vyenu na ninaviorodhesha ili niviwape ze original komedy.Yule aliyeahidi kunywa sumu sijasikia kelele za kilio.
 
Dhambi ya wana igunga kutuongezea wazomeaji bunge, wapiga makofi, wasinziaji, hawatosemehewa kamwe.
 
Nape ni kilaza wa kutupwa kabisa, kula yake ni kama mbwa anayejikomba kwa mfugaji
 
Huyo msameheni tu hajui atendalo!!!!!!!!! matukio ya uchaguzi huu yamemuabisha mpaka basi!!!!!!!! Maana amekuwa kinara wa kuendesha siasa chafu zisizokuwa na chembe ya utu. Amegundulika sasa anaziruka ID zake haha ahahaha ahahahaha!!!!!!!!!!! Halafu eti watanzania ndio mnaongopewa kwamba those are young guns for CCM!!!!!!! Gademuuuuuu!!!!!!!
 
Huyu kijana ana matatizo sn,anakikana hata kimvuli chake!!!!?hii ni hatari kuwa na kiongozi wa aina ya Nape.
 
Mahesabu yalimgonga pale alipotoa matokeo ya Kata moja mara mbili. Nadhani alichakachua vibaya hadi member wa JF alipohoji iweje Kata ya Mbutu itokee mara mbili na idadi ya kura iwe tofauti?
 
Nape alipohojiwa asbuhi hii amketaa kuwa.sisi yeye aliyetoa matokeo kwani yeye si mwanachama waJF hivyo hana rights za kuandika kuna mtu anatumia jina lake c yeye
 
Watakuwa wameiba tu hawa watu. Achana kuiba hawa jamaa wanajua kama wamepoteza mvuto wanatumia utajiri wao kuwanunua wapiga kura nimeona walivyoteketeza fedha kumpata diwani kata ya mjimwema (njombe),wanautumia vzuri umasikini wawatanzania na ambao wameutengemezena wenyewe, Nasema kwa uchungu mkubwa sana Mungu atawalaani siku 1,Fikiri mtu anauza kura yake kwa sh 1000/= au 5000/= kunabiashara gani huko juu? Wanakotumia nguvu kubwa na fedha nyingi kukufikia?
 
atakuwa ameshauriwa na wadosi wake i mean maboss wake. ametangaza matokeo yana mapungufu kibao, anasema matokeo ya mwisho wakati kata nne hazipo na moja amerudia mara mbili.....na ina matokeo tofauti. ameyakana yote hata ya kwenye facebook?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom