Matokeo ya form four yanatupa picha gani sisi kama wanajamii?

Joe Elly

Member
Jan 18, 2012
9
0
jamani kama matokeo yalivyoonyesha wadogo zetu wamefeli sana hasa katika shule za kata,,je,wote waliofeli wataenda wapi??naombeni mchango wenu wanajamii...:A S-confused1::help:
 
With no plan wataishia vijiweni na wengine kuingia kwenye bongo fleva na wengine ndo kuishia kuwa wezi wa mitaani maana waliopata zero hata cheti cha kuombea kazi au kujiendeleza hawana
Kuna zaidi ya tatizo kwenye matokeo haya na tusifikiri vijana hawa wanaishia tuu majumbani mwao
Ni bomu ambalo linasubiri kulipuka wakati wowote la vijana ambao hawana kazi na hawana hata vyeti vya kuombea kazi yoyote
Wanajilundika mtaani bila mpango wowote
 
with no plan wataishia vijiweni na wengine kuingia kwenye bongo fleva na wengine ndo kuishia kuwa wezi wa mitaani maana waliopata zero hata cheti cha kuombea kazi au kujiendeleza hawana
kuna zaidi ya tatizo kwenye matokeo haya na tusifikiri vijana hawa wanaishia tuu majumbani mwao
ni bomu ambalo linasubiri kulipuka wakati wowote la vijana ambao hawana kazi na hawana hata vyeti vya kuombea kazi yoyote
wanajilundika mtaani bila mpango wowote
hii ni hukumu ya hichi chama tawala walau wamepata elimu ya uraia itakuwa raisi kuwaelimisha
tunaongeza idadi ya mawakala wa upinzani vijijini maana kwenye chaguzi za mwanzo ilikuwa nadra hata kupata msimamizi wa uchaguzi maeneo ya kijijini kwetu
inaumiza sana upande mwingine wamewapotezea dira kabisa hawajielewi kabisa naunga na wewe hili
time bomb
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom