Matokeo ya form four 2008

Mpita Njia

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
6,997
1,163
Yanaonyesha kuwa kiwango cha ufaulu kimeshuka kwa asilimia 10.13. Wanafunzi wengi wamefanya vizuri kwenye Kiswahili (aslimia 81.59) na wengi wamefeli basic mathematics (waliofaulu somo hili ni asilimia 24.33 tu).
Nyingi ay shule zinazoongoza kama kawaida ni za binafsi huku senminari zikionekana kufanya vema zaidi.
shule kumi bora zenye watahiniwa 30 au zaidi
1. St Francis Girls (Mbeya)
2. Marian Girls (Pwani)
3. St Joseph-Kilocha Seminary (Iringa)
4. Uru Seminary (Kilimanjaro)
5. Dungunyi Seminary (Singida)
6. Anwarite Girls (Kilimanjaro)
7. St Mary Goreti (Kilimanjaro)
8. Feza Boys (dar es Salaam)
9. Don Bosco Seminary (Iringa)

Shule 10 bora zenye watahiniwa chini ya 35
1. Scolastica (Kilimanjaro)
2. Feza Girls (Dar)
3. Brookebond (Iringa)
4. Bethelsabas Girls (Iringa)
5. Maua Seminary (Kilimanjaro)
6. Rubya Seminary (Kagera)
7. St Marys Junior Seminary (Pwani)
8. Katoke Seminary (Kagera)
9. Kilomeni (Kilimanjaro)
10. St Carolus (Singida)

Shule 10 za mwisho zenye watahiniwa 35 au zaidi
1. Selembala (Morogoro)
2. Kilindi (Pemba)
3. Ngwachani (Pemba)
4. Michiga (Mtwara)
5. Ummussalama (Pwani)
6. Chunyu (Dodoma)
7 Busi (Dodoma)
8. Uondwe (Pemba)
9. Nala (Dodoma)
10. Maawal (Tanga)

Shule 10 za mwisho zenye watahinwia chini ya 35
1. Juhudi Academy (Zanzibar)
2. Mima (Dodoma)
3. Selenge (Singida)
4. Kijini (Zanzibar)
5. Kwamkoro (tanga)
6. kwala (Pwani)
7. Mtende (Zanzibar)
8. Ng'hoboko (Shinyanga)
9. Mbuzini (Pemba)
10. Mwadui Technical (Shinyanga)

matokeo zaidi yanapatikana kwenye tovuti ya nect (The National Examinations Council of Tanzania)

au MATOKEO KIDATO CHA NNE 2008 (Hapahapa JF)https://www.jamiiforums.com/matokeo2008.htm
 
Lakini aliyewatengenezea website yao hiyo mpya bwana Adam Urassa (Electrical Engineer) ameamua kuacha tangazo ambalo wao hawajui kama kaliweka.

Sijui niyaweke hapa kirahisi?
 
Kwanini somo la hisabati watu hufeli sana, yaani asilimia 75.67 wamefeli?
Na kila mwaka hisabati huongoza kwa kuwa na wanafunzi wengi waliofanya vibaya! Why?
 
Kwanini somo la hisabati watu hufeli sana, yaani asilimia 75.67 wamefeli?
Na kila mwaka hisabati huongoza kwa kuwa na wanafunzi wengi waliofanya vibaya! Why?
Mkuu Mbalawata, ni somo ambalo vijana wetu wengi wamejengewa imani kuwa "NI GUMU" na mbaya zaidi wanafunzi walio wengi hujikuta wanawachukia walimu wa somo hili. Kosa jingine ni kuwa walimu wa somo hili katika shule za awali (msingi na sekondari) hufundisha kwa mikwara mingi huku wengi wakiwa wamegubikwa na ubabaishaji mkubwa kitu ambacho huwakatisha tamaa vijana walio wengi ya kusoma somo hili.

Ni somo nilililokuwa nikilipenda sana pamoja na fizikia, huwa nasikitika kuona masomo haya yakiwapelekesha wengi.
 
Hivi hizi shule zetu za kiislamu zilizoamua kujiita seminary mbona bado hazifanyi vizuri? Kulikuwa na force fulani kutoka wizarani kuziita seminari au hilo wimbi la kuongeza neno "seminary" lilitokana na nini hasa! Anyway, ni nje ya mada. Samahani wakuu. Pengine nitaianzishia thread yake.
 
Shule 10 za mwisho zenye watahiniwa 35 au zaidi
1. Selembala (Morogoro)
2. Kilindi (Pemba)
3. Ngwachani (Pemba)
4. Michiga (Mtwara)
5. Ummussalama (Pwani)
6. Chunyu (Dodoma)
7 Busi (Dodoma)
8. Uondwe (Pemba)
9. Nala (Dodoma)
10. Maawal (Tanga)

Shule 10 za mwisho zenye watahinwia chini ya 35
1. Juhudi Academy (Zanzibar)
2. Mima (Dodoma)
3. Selenge (Singida)
4. Kijini (Zanzibar)
5. Kwamkoro (tanga)
6. kwala (Pwani)
7. Mtende (Zanzibar)
8. Ng'hoboko (Shinyanga)
9. Mbuzini (Pemba)
10. Mwadui Technical (Shinyanga)

matokeo zaidi yanapatikana kwenye tovuti ya nect (The National Examinations Council of Tanzania) au www. matokeo.necta.go.tz
Last edited by Mwiba & Kibunango!
 
Mkuu Mbalawata, ni somo ambalo vijana wetu wengi wamejengewa imani kuwa "NI GUMU" na mbaya zaidi wanafunzi walio wengi hujikuta wanawachukia walimu wa somo hili. Kosa jingine ni kuwa walimu wa somo hili katika shule za awali (msingi na sekondari) hufundisha kwa mikwara mingi huku wengi wakiwa wamegubikwa na ubabaishaji mkubwa kitu ambacho huwakatisha tamaa vijana walio wengi ya kusoma somo hili.

Ni somo nilililokuwa nikilipenda sana pamoja na fizikia, huwa nasikitika kuona masomo haya yakiwapelekesha wengi.

Mkuu Invisible, Heshima yako

Unazungumziaje swala la uandaaji wa walimu hasa shule za msingi (Primary teachers training)? Je aliefeli maths form 4 anastaili kuwa mwalimu wa hisabati, tena anategemewa, kama hayupo darasa la saba halifundishwi? Nilisikia kuwa Mungai alitaka watu wenye division one waende uwalimu, tena diploma holder wafundishe primary, degree wasundishe secondary (o-level) kwasababu watakuwa wame-specialize. Sijajuwa kama hii paradigm shift ni kweli aliipendekeza Mungai. Je kama kweli, wazo lake linaweza kupunguza failures? Kwanini shule zingine hawana failures wengi wa maths? either hakuna kabisa au wapo wachache waliofeli? Wana walimu wanamna gani? Too much part-time and form six leavers inaweza kuchangia? Samahani kama nimekuwa biased
 
Mkuu Mbalawata,

Kifupi failure yeyote kumfundisha mtoto akafanya vema ni ngumu sana.

Kinachosikitisha failures wanafundisha shule za awali na baadae vichwa wanakumbana na mizigo Elimu ya Juu.

Nisingependa kuwa mwongeaji sana mkuu, napenda kuiachia Jamii itoe hukumu yenyewe. Uwanja ni huru na maoni huru yanakaribishwa.

Nadhani Maths inabidi ifikie kipindi kwa Shule za msingi na Upili (secondary) iwe ni LAZIMA (Compulsory)
 
shule kumi bora zenye watahiniwa 30 au zaidi
1. St Francis Girls (Mbeya)
2. Marian Girls (Pwani)
3. St Joseph-Kilocha Seminary (Iringa)
4. Uru Seminary (Kilimanjaro)
5. Dungunyi Seminary (Singida)
6. Anwarite Girls (Kilimanjaro)
7. St Mary Goreti (Kilimanjaro)
8. Feza Boys (dar es Salaam)
9. Don Bosco Seminary (Iringa)

Shule 10 bora zenye watahiniwa chini ya 35
1. Scolastica (Kilimanjaro)
2. Feza Girls (Dar)
3. Brookebond (Iringa)
4. Bethelsabas Girls (Iringa)
5. Maua Seminary (Kilimanjaro)
6. Rubya Seminary (Kagera)
7. St Marys Junior Seminary (Pwani)
8. Katoke Seminary (Kagera)
9. Kilomeni (Kilimanjaro)
10. St Carolus (Singida)

Hongereni St......seminary.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom